Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

Wewe no muoga na mbinafsi.Unafikiri kuhusu uhai wako tu,na sio maslahi na maisha ya watu wengine.Watu kama Lissu,Mdude,Lema lazima wawepo ili kuleta mabadiliko katika jamii
Wewe ambae sio muoga umefanya nini mpaka Sasa na hao watu wengine wanashindwa nini kupambana ikibidi na wao wafe kama ni vizuri mpaka Mimi niwapambanie nife ?
 
Ni kweli kabisa, kupiga kelele, kuandamana au kwenda mahakamani ni kupoteza mda wako tuu, kama unaona walioshika dola wanazingua ua kiongozi mmoja baadq ya mwingine kimya kimya,kwa sumu, kwa risasi kwa kumloga kiongozi husika, mbona watanyooka. Lakini hii njia ya kubwabwaja kwa watu waliochanganyikiwa na kubaki madarakani wanaondoka na kichwa fasta.
 
Wewe umeongea kitu sahihi 100%
 
Dini yako ilikuja kwa mada yako ukapata kama ulivyo sema dini yako ungekosa
 
umejuaje?
Huna ubavu huo we ni kunguru tu na hamna mtanzania anaeweza kufanya harakati za ujasiri Sasa hivi nadhani mdude alikua anaupungufu wa akili chadema wakatumia hiyo fursa kumuweka mbele mbele atukane viongozi
 
Wewe ni tahira, upeo wako wa uono unaishia sebuleni kwako tu walipo watoto na mke wako.
Mbinafsi na tahira hajui kitu kinachoitwa Taifa bora la kesho.
Fedhuli hawezi kutoka madarakani bila kashikashi.
CCM ni fedhuli aliyeshindwa kutumia rasilimali nyingi za taifa hili kuleta ustawi na badala yake kipaumbele chake ni uchaguzi.
Marekani, Uingereza na kote huko ambako kila Mwafrika anatamani kutembelea kushuhudia ustaarabu wao kuna wananchi waliitwa wanaharakati uchwara kama mdude wakauwawa na sasa kuko safi. Kila mwana CCM hata yule mungu wa wajinga aliyekufa 2021 alitoroshea pesa huko ili ale akistaafu.
 
Kuna watu wamezaliwa hvyo kuwa wanaharakati hawez kuona ujinga akanyamaza na wengine wapo tayar kufa
 
Kuna watu wamezaliwa hvyo kuwa wanaharakati hawez kuona ujinga akanyamaza na wengine wapo tayar kufa
Huo ni ujinga kufa kifala wanaume wanafia msituni kama m 23 wakipambana na serikali dhalimu. We mtu Hana hata mbwa wa kumlinda anajiita mwanaharakati hata acid tu ya kuwadhuru wabaya wake Huo sio uhanaharakati ni kuchanganyikiwa na maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…