Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
-
- #21
Inategemea ni vijana wa aina gani unaowazungumzia broda, sio Kila kijana ana mtindio wa ubongo kiasi cha kuikubali katiba yenye makengeza, hatudanganyiki; hatushawishiki!! Katiba ya Chenge na Six ni HAPANA, period.
Hao ni wale wazee wa Arusha waizi wabaomsaidia kinana kuiba nyaraka za umma na chenge wao mwizi abakabidhiwa katiba kweki haya makitu ni maizi.
swissme
Acha porojo Arusha wanajitambua sio kama wewe mchumia tumbo. Endeleeni kujidanganya
Mmeamua kuiga siasa zakukodi watu na kuwalipa kwenye katiba pendekezwa!
Kamalizeni kuandikisha watu kwanza
Mimi sijapinga wala kukubali kwakuwa sijaisoma. Ila asitusemee kuwa ni wazee wote. Alitukutanisha lini tukaoa hilo tamko? Karibu Tengeru utupe Elimu
Mkuu wazee watakuwa bado hai wakati kura hiyo inapigwa? maana tume ya uchaguzi ilihairisha
upigaji wa kura hiyo kwa muda usiojulikana.
unajitekenya halafu unacheka mwenyewe,*****
Zoezi linaendelea kama kawaida ndo maana NEC wakazogeza mbele tarehe ya kupiga kura ya maoni, hivyo ondoa shaka juu ya hilo na hakika nawaambia kura ya NDIYOOOOOOOO Haiepukiki ng'ooooooooo hata muende kwa waganga maana Mungu yuko pamoja na Watanzania wazalendo na sio wale
Zoezi linaendelea kama kawaida ndo maana NEC wakazogeza mbele tarehe ya kupiga kura ya maoni, hivyo ondoa shaka juu ya hilo na hakika nawaambia kura ya NDIYOOOOOOOO Haiepukiki ng'ooooooooo hata muende kwa waganga maana Mungu yuko pamoja na Watanzania wazalendo na sio wale wenye kuitakia mabaya Katiba hii.
Hiyo signature yako ya maana?Weka hoja ya maana bhana hivi hiyo nayo ni hoja? wewe una ahadi na Mungu kwamba hao wazee hawatafika huo muda?
Kamuulize alokutuma kuongea upuuzi huo humu JF.
soma hapo chini
Fanya kazi bhana, ndo ajira zenyewe izo.
Hiyo signature yako ya maana?
imeandikwa mjibu mjinga kwa kadri ya ujinga wake asije akajiona mwenye hekima machoni pake mwenyewe.
Endelea kuweka mazwazo ya watu na hao sio miungu watu wala ckushangai na hizo attachments zako za kinafki.Zoezi linaendelea kama kawaida ndo maana NEC wakazogeza mbele tarehe ya kupiga kura ya maoni, hivyo ondoa shaka juu ya hilo na hakika nawaambia kura ya NDIYOOOOOOOO Haiepukiki ng'ooooooooo hata muende kwa waganga maana Mungu yuko pamoja na Watanzania wazalendo na sio wale