Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
- #21
Inategemea ni vijana wa aina gani unaowazungumzia broda, sio Kila kijana ana mtindio wa ubongo kiasi cha kuikubali katiba yenye makengeza, hatudanganyiki; hatushawishiki!! Katiba ya Chenge na Six ni HAPANA, period.
Wenzio walikuwa hivo hivo baadae wakabadilika kwahiyo wewe MTK a.k.a TYTA a.k.a TETTY wala ckushangai kwa upungufu wa akili ulo nao.