Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunamfanyakazi mwenzetu alikua anamtumia demu wake meseji za mahaba akaakosea ikaenda kwa boss ambaye ni mwanaume, mbona palichimbika kesho yake. Boss akagoma kumuelewa mwamba kwamba alikosea kutuma ujumbe akaaanza kumuhisi mwamba kwamba anatabia za kukazwa.Mnamsingizia vitu vingi sana huyo mnyaazi mungu.
Mbona mi nilishawahi kumtumia Mjomba sms ya Mpenzi wangu kimakosa, hapo pia mnyaazi mungu anahusika?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
sawa nimekuelewaIkiwa we ni Black Beautiful Girl "BBG" tafadhali bakia hivyo hivyo kama Chakorii maana mnazidi kuadimika sana karne hii ya 21 na sisi Wahenga ndiyo ugonjwa wetu huo...[emoji2960]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Poa. Habari ya wewe?Mambo mengine lakini best.. 😊😊
Mie mzimaPoa. Habari ya wewe?
Acheni Ujinga na Upumbavu Mwanaume hachungwi na Mwanamke nae hachungwi period.Kama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen.
Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke katuma sms na mchepuko katuma sms papo hapo nikajibu kwa mchepuko nikikumbushia tulivyo enjoy guest kumbe inaenda kwa wife [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ilishawahi nikuta hiyo
Kwenye simu nikijibu smswapi
Wewe ukinaswa hivyo ungejinasuaje[emoji4][emoji4]
Sijui ingekuwaje yaan mana hayajawahi nikuta.Wewe ukinaswa hivyo ungejinasuaje[emoji4][emoji4]
Hii kesi kwa mwanaume ni kuikataa tu kwamba sio mimi nmeituma labda imejisend tu yenyewe[emoji6][emoji6]
[emoji2][emoji2] Imejisend kutoka wapi? huwa tunawachora sana mnavyokataa wakati ukweli upo peupe. Mimi siku hizi nshaacha kuhangaika mtu ana michepuko shauri zake. Kama mtu mzima anashindwa kujichunga ndio nikaweze mie? Huwa nakaa zangu kimya.Hii kesi kwa mwanaume ni kuikataa tu kwamba sio mimi nmeituma labda imejisend tu yenyewe[emoji6][emoji6]
Namaanisha umewatupilia wapi hao Ndugu zangu?Sijaelewa mkuu?