Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

Ufisadi ni matokeo ya siasa kuingilia taaluma, na kikundi kidogo kuteka nyanja zote za utawala. Walio nje ya kikundi wanatazama na kushabikia uharifu unaoendelea. Waajiriwa ni kufuata ukanda na pindi wakiharibu wanalindwa.
 
Hahaha! Sawa kaka. Le mutuz naye vipi, maana ni rika la Magufuli lakini mara nyingi huwa naona watu wanamweka kundi la vijana
Le mutuz umri na mwili vimemtupa mkono...japo anatumia nguvu nyingi sana kubaki madarakani kwa kujichanganya tu na vijana kila mahali.
 
Malipo makubwa wanayolipwa ni tarakimu kubwa kwa viwango vya kwetu, lakini kwa std ya maisha huko ni mapato ya kawaida. Na ndio maana wapo wanaorudi na kulipa chini ya alicho kuwa anapata, lakini kwa std ya maisha kwetu yanakuwa ni malipo makubwa.
 
Nafahamu wengi tu hasa walio carlifonia,
Na wengi ni memba wa family akisema mzee wangu lakini kwa maelezo yake huko aliko kachoka sana na siasa chafu za hapa Bongo, hakuna uhuru kabisa katika nchi yetu.
Anamchukia sana Rais wetu.
Kiujumla diaspora hawana hamu na nchi yao, kila kinachoendelea hapa wanaona.

Wanachofanya ni kusaidia familia zao huku basi na sio nchi
 
Huyu Hasan Saudin, kwa mujibu wa maelezo hayo, anaeza kufaa TRA... ingawa kwa sasa haina weledi, inaendeshwa kisiasa zaidi
Hapo umeongea ukweli. Kila kitu kwenye Nchi yetu imekuwa ikitizamwa kisiasa zaidi na si kitaaluma. Kwa mf akitokea Waziri kwenye Wizara fulani anajituma hasa na kujijengea heshimq na umaarufu kwa wale anaowaongoza/kuwatumikia basi Mamlaka za teuzi huanza kufikiri kuwa labda anajijenga kisiasa kwajili ya nafasi za juu za kidiasa. Hivyo kujengewa zengwe litakalomfanya aufyate. Au kupigwa chini haraka.
 
Hahaaaa
 

Mkuu samahani kwa faida ya Jukwaa
1.Kwanini anasema hakuna Uhuru?
Unaweza toa mifano?au uhuru sawa na Huko walipo?
2.Kwanini anamchukia Raisi wetu?
 
Mkuu samahani kwa faida ya Jukwaa
1.Kwanini anasema hakuna Uhuru?
Unaweza toa mifano?au uhuru sawa na Huko walipo?
2.Kwanini anamchukia Raisi wetu?
1)Unajua kwanini akina. Lema na Lissu wameomba ukimbizi ng'ambo huko?
2)jibu la namba mbili unajua maana ya Demokrasia?
 
na huu ndio ukweli. huko vijijini kuna watu wanavipaji ila hawatumiki
 
Kweli mm kaliba yangu sitaweza kuificha km ni white nitasema ni white hata nilazimishwe ni black
pia nina asili ya kabila la Kimasai kumtukuza mwingine zaidi ya Laigwanang ni mwiko kiasili hata Lengai hatanisamehe
nawaachia wengine wakachukue hivyo vyeo visivyodumu zaidi ya miaka mi5
za chini ya uvungu nasikia mtangazaji wa DW na Star amekataa sijui km kweli au ujiko
 
Wanadamu tunapishana pia katika Kumjua huyu ni Mwerevu au Juha na huenda unayemwona Wewe Mwerevu mno Kwangu akawa ni Juha sana.
 
Sasa ukiwa kichwa ndiyo utatumbuliwa asubuhi,inakupasa uwe wakujipendekeza na wakujionesha!! Labda yule lukosi angeeza
 
Nachukiaga sana jitu lazima litaje neno "kijana" kama ni sifa meritocratic ya uwezo wa leadership

Ukiona jitu linataja sana "ujana" ujue linaficha madhaifu yake

We dont even wanna know you goddamn age
Yani wewe kila unachoandika ni shetani tupu, kama tundu la nanii (aka kamanda msaliti)
 
hivi John Mashaka na professor Shayo wako wapi??lol
 
Unaweza kuweka zulia dunia nzima, ili mguu wako usikanyage ardhi.

Au unaweza kuvaa kiatu tu, ili mguu wako usikanyage ardhi.

Wewe umeamua kuweka zulia dunia nzima ili mguu wako usikanyage ardhi.

Kwa sasa nitaishia hapo.

Ila, ukitaka maelezo zaidi nitakueleza.

Mimi ni mmoja wa hao wazawa wa Watanzania walio Diaspora muda mrefu. Na ninafuatilia mambo ya Tanzania kwa karibu kila siku.

Kama unataka mjadala wa kutazama tumekosea wapi, nakukaribisha tujadiliane.

Kama una ajenda tofauti (jockeying for position, politricks etc), tusipotezeane muda hata kuanza kujadiliana.

Ni Mimi.

Kiranga Changeda Sakala Kandumbwa.
 
Kiranga Changeda Sakala Kandumbwa. Sitii neno LOL!
 
Mkuu ni ngumu sana kufanya kazi kwa weredi awamu hii maana unakuwa huna hakika kama maamuzi yako yatamfurahisha boss. Magu anaingilia sana utendaji kazi wa watu kiasi kwamba anataka wafikili kama anavyofikili yeye hivyo watu wanakuwa wanamsikilizia kuona anataka nini.
Kuna siku nilitazama interview ya Kigwangala alikuwa aihojiwa 360, alisema kwamba si kwamba hakuna mambo anayotamani kufanya, ila kwakuwa mambo yanabidi yafuate mfumo flani, unaweza fanya jambo kwa nia nzuri kabisa lakini matokeo yake ukaja kuonekana umepiga pesa, ndiyo maana hafanyi mpaka lipitishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…