Mkuu bandiko lako ni Zuri sana sana
Ila jua jus walio nje Diaspora wengi sio Ma Professor na Ma Dr!
Hawa ma Academicia mkulu ndio anawapenda!
Ila Diaspora wanegeweza kuendesha vema Kabisa Uchumi wetu kama alivyofanya JK kuwaita Diaspora kuongiza Mashirika kama TIC yuke Dada,TPDC Dr.James Mataragio,Rashid badi,Juliet Kairuki sijui,nk nk,
Mi naanza na Haya Mashirika yetu ya Umma yanatakuwa kuongozwa na Diaspora kabisa watu ambao wana Exposure zaidi,
Mashirika kama Tanesco,Nssf,Bandari,Reli,Tpdc hili tayari yupo Diaspora),Tirdo,Tbs nk!
Diaspora wana chama chao ukimpata mmoja ni rahisi kuwafahamu na wengine,
Unaweza kuwatafuta kwanza hao niliokutajia ili wakuunganishe na wenzao halafu wafanyiwe Vetting!
Angalizo achana na Mambo ya Uzalendo Mkuu,
Je kuna Utayari wa Kuwalipa?
Huko walipo inawezekana wakawa wanalipwa hela Nzuri tuu kama Usd $ za Kueleweka tuu Je tupo Tayari kuwalipa kiasi kama hicho?