Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

Sawa mkuu but ,labda tatizo ni kutetemekea vyeo tu kuliko kuhalibu taswila yako kisa tu ufanye ya kumpendeza mtu mmoja ,unaacha kazi ,tatizo tuna watu mioyo yao haina commitment, why ufanye Mambo ya ovyo kisa kufuraisha mtu, binafsi hii ni kazi ya tatu, haiwezekani kisa wanilipa vizuri ndo ufanye nidhalilishe utu wangu mbele ya jamii na kuonekana kituko
 
I doubt kama vijana/watu smart from abroad wanaweza kuja kufanya kazi Tanzania.

Turekebishe kwanza changamoto nyingi tulizokuwa nazo.
 
Ukitumbuliwa hata ufanye maamuzi sahihi raisi akutumbue kwa hayo maamuzi kutomfurahisha, taswira yako ndani ya jamii itachafuka maana yeye ndiye atasema mabaya yako, wewe hutokuwa na nafasi ya kujja kujitetea itabidi ukae kimya. Nikuulize, Nape na Makamba ni kosa gani walilolifanya?
 
Sijaona sehemu mmemtaja swahiba wangu comrade Nyani Ngabu au kwakuwa ana kasetifiketi ka Veta pale Chang'ombe mnamdharau? Kwa taarifa yenu yeye alikuwa wa pili mi nikawa wa tatu kwenye mtihani wa mwisho
 
kumzidi mkulu kwa kila kitu mpaka umri.

mna mahaba sana.
 
huyo makamba kamzidi magufuli weupe na urefu pekee,sio kila kitu.
I agree Makamba hana lolote kwanza bado ana utoto he is so proud anamjua nani kwenye maisha yake.

Hawa vijana wapo so arrogant and delusional with their self impotance ndani ya muda mfupi. Sio Makamba tu bali a majority of them kwenye kujikuza.

Magufuli amekuwa waziri miaka 20 Tanzania kabla ya uraisi. Kwa nchi iliyokuwa ya ma-deal hivi ni wafanyabiashara wangapi amekutana nao angetaka kuwaita marafiki, viongozi wangapi amekutana nao angetaka kuwaita walezi, watu wangapi amefanya nao kazi kwa karibu angetaka leo ashibe nao.

Binafsi I really wished Magufuli ampe January nafasi nyingine ya uwaziri so he could redeem himself but he is just soo childish.

Hiyo miaka saba ya uwaziri anadhani ina umuhimu wa sisi kujua he mingled amongst world elite.

Huyo Magufuli aliekaa 20 years in the cabinet asemaje, Lukuvi je aliekaa Ikulu miaka kibao kabla ya uwaziri ambao na wenyewe kwa sasa sijui unaenda miaka 20, Mkukicha je; hao watu wasemaje.

January mshamba kweli labda ndio hulka ya wasambaa. I still hope Magufuli gives him another chance ila kwa display ya tabia zake za sasa I can understand kumuweka bench.

He is not demonstrating progressive mindedness for high office to keep the Magufuli legacy going on (the legacy is not on the man, but government attitude).

January m is so average kwanini apewe special treatment si bora Magufuli ajaribu wengine kuona nani anafaa.

Makamba despite given the opportunity overtime he is still not accustomed to senior government roles nor understand the seriousness of the task in Tanzania’s context.
 
hawa watoto waliokulia ufalmeni ndio matatizo yao haya,hakuna adabu kabisa,unaweza ona alivyo shangazi,maria,nk.
naona ile hali ya kumwona magu akiwa mdogo au sawa na baba zao bado wako nayo vichwani,mpaka wanasahau sasa ni rais wa nchi.

mwingine anaandika,eti januari anamzidi kila kitu magufuli[emoji1][emoji1],unaweza ona ni jinsi gani hawa watu wana matatizo vichwani,tuko nao humu.
 
Wakati Magufuli tayari waziri January alikuwa anaja ugali kachumbari huko Gallanos if not a security guard in NY.

Tatizo kuna watu wanapenda kujikuza tu.

Makamba is humble in nature lakini inabidi aache kuchechetuka kishamba.
 
huyo makamba kamzidi magufuli weupe na urefu pekee,sio kila kitu.
Busara, elimu (Ile elimu ya ukweli siyo ya kudesa ya Magu), Exposure, Malezi bora kutoka familia bora, kujiheshimu na kuheshimu watu wengine, kafundwa uongozi na marais wawili (Mkapa and Kikwete), Maisha yake yote kayatumia kuielewa misingi ya CCM na uongozi, Staha....ongezea vingine mwenyewe
 
Yusuph Makamba na Magufuli nani kala pepo zaidi nchi hii?

Unajua Makamba kaupata ukuu wa mkoa mwaka gani na Magufuli kawa wazirini lini?

Ebu acheni kuongea upuuzi kwa sababu watu hawana tabia za kujikwaza.

Watoto wa Makamba wanakumbuka walivyoachwa Bukoba, wakati watoto wa Magufuli awajui maisha nje ya baba kama waziri.

Kuna watu wanapenda kujikuza tu.
 

elimu ya kubumba na isiyo ya kubumba unaijuaje??
malezi bora yanapimwa kwa mzani upi??maana mimi pia naweza sema hukuelelewa malezi bora,au kinyume chake sababu tu unakasirikia watu hovyo.
mkapa huyu mnayesema hakuheshimu watz akawatukana hadharani,ndio unasema amekuwa mwalimu bora wa makamba kiungozi!!!

sipendi sana chuki kwa magufuli zihusishwe na kila kitu anachofanya,mtakosa hoja ya kusimamia.
 
Wakati Magufuli tayari waziri January alikuwa anajuka ugali kachumbari huko Gallanos if not a security guard in NY.

Tatizo kuna watu wanapenda kujikuza tu.

Makamba is humble in nature lakini inabidi aache kuchechetuka kishamba.
si ndio hapo mkuu,wakati nape anakwenda kuomba radhi alionekana ni mtu anayeogopa njaa,lakini kimsingi ni mtu aloyeona mbali.

huu ujuaji mwingi ndio unafanya mbeleni mnashindwa kuchagua njia ya kushika.
 
si ndio hapo mkuu,wakati nape anakwenda kuomba radhi alionekana ni mtu anayeogopa njaa,lakini kimsingi ni mtu aloyeona mbali.

huu ujuaji mwingi ndio unafanya mbeleni mnashindwa kuchagua njia ya kushika.
Nape is an average politician his main goal is to last long in politics hiyo ndio career pekee anayoijua (silimilar to Emmanuel Nchimbi) until he makes enough savings to try something else, mengine maajaliwa. Hakuna ubaya wowote if that is the life path he has chosen and entitled to it.

Whereas January is an exceptional politician ilo halina ubishi he has leadership qualities tatizo lake he is not adaptive to Tanzania challenges yeye kama robot aliekariri leadership traits.

Halafu na kaushamba fulani which makes it wary kupewa majukumu fulani because he doesn’t show the attitudeness to move things forward.

Nafasi kuu za nchi kwa mazingira yetu azitaki mtu wa kutukuza marafiki wafanyabiashara, watoto wa vigogo kwa sababu baba zao unawajua au sijui mlikuwa majirani etc to do with his twitter nonsense, aonyeshi kama priority yake ya siasa ni kuwafanyia kitu watanzania.

Hiko ndio kinachomfanya aonekana January ni average kama wengi wao, and yet you can see there is more if he changed his attitude kwa sababu ya leadership qualities zingine unazoziona kwake.

Basically J.K was good on his tenure but we don’t want another one back again if we are to move forward. It’s ok to pick some of his diplomatic leadership qualities but January needs to find another role model on top of that for inspiration vinginevyo apigwe bench tu in my opinion.
 
Naweza kufikwa na mauti bila kujua kosa la January na Nape. Labda mniambie kuna makosa hatia yake iko mikononi mwa hakimu.
Siyo lazima kujua. Aliyewateua aliona awatoe aweke watu wengine. Walichopambania kwa jasho lao mbona wanacho hawajanyang'anywa! Ubunge. Tuache ujuaji wa kujifanya tunamjua vema kila mteule. Huenda shida zingine hutokea behind the scenes. Na hata zinapotokea hadharani huwezi lazimisha anayeteua atafsiri kama wewe.
 
Bongo kama huna mvi wewe ni kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…