huyo makamba kamzidi magufuli weupe na urefu pekee,sio kila kitu.
I agree Makamba hana lolote kwanza bado ana utoto he is so proud anamjua nani kwenye maisha yake.
Hawa vijana wapo so arrogant and delusional with their self impotance ndani ya muda mfupi. Sio Makamba tu bali a majority of them kwenye kujikuza.
Magufuli amekuwa waziri miaka 20 Tanzania kabla ya uraisi. Kwa nchi iliyokuwa ya ma-deal hivi ni wafanyabiashara wangapi amekutana nao angetaka kuwaita marafiki, viongozi wangapi amekutana nao angetaka kuwaita walezi, watu wangapi amefanya nao kazi kwa karibu angetaka leo ashibe nao.
Binafsi I really wished Magufuli ampe January nafasi nyingine ya uwaziri so he could redeem himself but he is just soo childish.
Hiyo miaka saba ya uwaziri anadhani ina umuhimu wa sisi kujua he mingled amongst world elite.
Huyo Magufuli aliekaa 20 years in the cabinet asemaje, Lukuvi je aliekaa Ikulu miaka kibao kabla ya uwaziri ambao na wenyewe kwa sasa sijui unaenda miaka 20, Mkukicha je; hao watu wasemaje.
January mshamba kweli labda ndio hulka ya wasambaa. I still hope Magufuli gives him another chance ila kwa display ya tabia zake za sasa I can understand kumuweka bench.
He is not demonstrating progressive mindedness for high office to keep the Magufuli legacy going on (the legacy is not on the man, but government attitude).
January m is so average kwanini apewe special treatment si bora Magufuli ajaribu wengine kuona nani anafaa.
Makamba despite given the opportunity overtime he is still not accustomed to senior government roles nor understand the seriousness of the task in Tanzania’s context.