Vijana ndoa muhimu, Gerald Hando amezeeka ghafla

Vijana ndoa muhimu, Gerald Hando amezeeka ghafla

Nimekutana na Gerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla.

Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha.

Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona itakumaliza
Kuna vyakula inawezekana na anavitumia kwa wingi na Kuna vyakula inawezekana havitumii kwa wingi mwisho wa yote kifo kipo pale pale
 
Back
Top Bottom