Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Dah!Tena siku hizi vijana wanakufa sana kuliko na hao wazee, mwaka jana tulikuwa na kamgogoro ka nyumba na bamkubwa bhana, sasa dogo anaenifata akawa anaongea mbovu sana, kuwa mtu mwnyewe kazeeka hana muda mrefu ataondoka nikamwambia hata km anatunyanyasa vipi huwezi kusema hivyo kifo kinakuja bila hodi, usishangae ukamuacha we ukatangulia, akasema aaah we sis nitolee busara zako huyu atatuacha na huo wakati ukifika tutaonyeshana!!!!! Ooohhhh mwaka huu mwanzoni kapiga chini kalala aliyekuwa anamkandia alikuwepo msibani mpaka sasa yupo,, hicho ndio kifo
Ungesindikiza ka thread na picha ingenoga zaidi kakaGerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla.
Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha.
Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona itakumaliza
Naunga mkono hoja😅😅😅Kipi kinazeesha zaidi?
Upweke ama kugundua mtoto uliyemlea miaka 20+ sio wako?
KATAA NDOA,
TUNZA KIBUNDA CHAKO.
Una hoja mdogo wangu.Kipi kinazeesha zaidi?
Upweke ama kugundua mtoto uliyemlea miaka 20+ sio wako?
KATAA NDOA,
TUNZA KIBUNDA CHAKO.
Jaribu kutooa uone.Ndoa kwa mwanaume sio salama Sana japo Ina umuhimu wake.
Bado mgane mbichi kabisaaAlifiwa january
uzee sio muonekano,uzee ni rohoniGerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla.
Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha.
Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona itakumaliza
Mhm sio kweli mbona mimi sijaona🤔Jaribu kutooa uone.
Jaribu kutooa uone.
Labda hao watoto wA mama. Sisi wengine hivyo ulivyotaja ndio utaratibu wetu wa maisha.Hamjaumbwa hivyo, labda muanze mazoezi ya kufua, na kuosha vyombo huku mtoto wako yuko mgongoni, na muda huo maharage yanachemkia jikoni.
Humu ndio wamejaa yaani mtu anakila kitu magari ,majumba ila anataka asikutunzee ni wewe umtunzeeMwanaume jifunze kuwa full independent. Hautakiwi kumtegemea mwanamke kwa lolote linalokuhusu wewe binafsi.
Unatakiwa kuoa siku hiyo hiyo.Gerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla.
Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha.
Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona itakumaliza
Waambie maana wao hawataki majukumu wanataka kupiga puimbu.Gari haliwezi kukupikia wala kukupa sex
🤣🤣🤣aah Vitisho tu hivyo 🤗🤗🤗