Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Biashara ya mazao ya msimu yahtaji moyo vinginevyo hela italala store na bei haipandi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wa Dar bhana...Kwanini ulale kwenye Tutubai wakati unaweza nunua sleeping bag ukaenda nalo?,
kwanini ule mihogo daily,wakati unaweza kwenda na ready to eat meal,ukawa unapasha moto kwenye microwave.......ooh wait...
Umeongea pointi ya msingi sana, watu mwaka Jana tumenunua mahindi gunia Elf 50 tukitarajia kama mwaka juzi kuuza Elf 70-100k now Tumelazimika kuuza mahindi kwa Elf40 Kwa Gunia, hasara ya Elf10 kila gunia ongeza na gharama za kutunza. Hapo umekula hasara ya Elf 20 kila gunia piga hesabu ulikuwa na gunia 100×20,000= hasara ya 2,000,000, 2M kama mwaka Jana mtaji ulikuwa 5M now ukiuza unapata 3M halafu unakuja kusema biashara ya Nafaka ni ya kukurupukia??? Labda kwa yule ambaye hayajawahi ifanya.Biashara ya mazao ya msimu yahtaji moyo vinginevyo hela italala store na bei haipandi
Afadhali kuuza Mchele moja kwa moja.. Pesa yake itachelewa Lakini utaipata yote..Mkuu kwa uzoefu wako wa hii biashara kati ya kununua mpunga mashambani na kuja kuuza machineni baada ya kuukoboa na kununua machine kuja kuwauzia akina mangi madukani ipi risk yake ina afadhali
Kuna mpumbavu hayajui haya atasimama tena na kusema unakatisha watu tamaaNimefanya biashara ya mpunga kwa miaka mitatu sasa, Hasara zipo usiseme hasara ni kidogo usidanganye watu kama kusingekuwa na hasara basi wafanyabiashara wote wangenunua mpunga na kuuza Mchele, umesema uuze Gunia 5 kila siku kivipi??? Mpunga unalimwa vijijini interior huko vijini mbali sana naxsehemu za mashine kubwa na wateja, kwa hiyo. 1M kwa bei ya Elf50 mfano, utanunua gunia 20 hizo gunia waweza zikusanya kwa siku 2,3 au hata 4, una gunia 20 hakuna Fuso itakayokufuata kijijini kukupeleka mjini gunia 20 itakubidi ukae huko pori usubiri wenye mitaji mikubwa wapate mzigo ili na wewe wakubebee hizo gunia zako 20 hapo utakaa tena siku zisizopungua 2, ni siku 5 au 6 tayari unafika town kwenye machine hujaanika huo mpunga wako siku 1 au ili ufae kukobolewa then upange foleni ya kukoboa, upige test utafute mteja ndo ukoboe, hivyo kwa trip 1 lazima utumie Siku 10, hivyo kwa mwezi mzima utaenda pori Mara 2 pekee, unakuja kupiga hesabu kila gunia moja ukitoa gharama zote unapata elf 10 au wakati mwingine ukutane na biliani unapata faida ya Elf5, hivyo kwa gunia zako 20 unapata faida ya 150,000 ukienda Mara 2 ndo utaipata Laki 3, kwa mwezi mmoja, hivyo Hii biashara siyo nyepesi na uwe mwanamme kweli siyo mla chipsi, maana unaenda pori week 2 unalala kwenye carpet lile lile mnaloanikia mpunga mchana, kulalia mifuko ya kupimia mpunga na chakula cha kijijini viazi na mihogo uwe umejiandaa kisaikolojia, maana kupata ukurutu ni kitu cha kawaida tu,, Biashara inalipa lakini Mara nyingi kwa wenye mitaji mikubwa, yule anayejaza fuso pekee ake gunia 100 ndo anapata faida maana akijaza mzigo siku hiyo hiyo anapiga simu na kutoka pori wewe wa gunia 10,20,30 unabaki huko.
Ukikauka ndo bas I tena unkaa hata miaka 2000 .Kiongozi me nakaswali kamoja tu. Vipi kama ukinunua huo mpunga na ukaamua kuuweka je unaweza ukaharibika kama mahindi yanavyoharibika kwa kubunguli!
Boss microwave ipi unayowezakitumia ukiwa huko porini kusiko na umeme? Nakuunga mkono kwenye sleeping bagKwanini ulale kwenye Tutubai wakati unaweza nunua sleeping bag ukaenda nalo?,
kwanini ule mihogo daily,wakati unaweza kwenda na ready to eat meal,ukawa unapasha moto kwenye microwave.......ooh wait...
Hiyo biashara ya kutunza mzigo ni biashara ya kimaskini, inazuia mzunguko wa pesa, ni bora upate faida ndogo lakini uwe umezungusha pesa, mathalani baadala ya kutunza ungeyauza kwa faida ndogo, una chukua mengine unauza tena, ungejikuta umepata faida kubwa.Umeongea pointi ya msingi sana, watu mwaka Jana tumenunua mahindi gunia Elf 50 tukitarajia kama mwaka juzi kuuza Elf 70-100k now Tumelazimika kuuza mahindi kwa Elf40 Kwa Gunia, hasara ya Elf10 kila gunia ongeza na gharama za kutunza. Hapo umekula hasara ya Elf 20 kila gunia piga hesabu ulikuwa na gunia 100×20,000= hasara ya 2,000,000, 2M kama mwaka Jana mtaji ulikuwa 5M now ukiuza unapata 3M halafu unakuja kusema biashara ya Nafaka ni ya kukurupukia??? Labda kwa yule ambaye hayajawahi ifanya.
Hiyo biashara ya kutunza mzigo ni biashara ya kimaskini, inazuia mzunguko wa pesa, ni bora upate faida ndogo lakini uwe umezungusha pesa, mathalani baadala ya kutunza ungeyauza kwa faida ndogo, una chukua mengine unauza tena, ungejikuta umepata faida kubwa.Umeongea pointi ya msingi sana, watu mwaka Jana tumenunua mahindi gunia Elf 50 tukitarajia kama mwaka juzi kuuza Elf 70-100k now Tumelazimika kuuza mahindi kwa Elf40 Kwa Gunia, hasara ya Elf10 kila gunia ongeza na gharama za kutunza. Hapo umekula hasara ya Elf 20 kila gunia piga hesabu ulikuwa na gunia 100×20,000= hasara ya 2,000,000, 2M kama mwaka Jana mtaji ulikuwa 5M now ukiuza unapata 3M halafu unakuja kusema biashara ya Nafaka ni ya kukurupukia??? Labda kwa yule ambaye hayajawahi ifanya.
Hahah mwanaume wa dar anadhani huko Shamba ni kama ameenda camp kule Serengeti kula maisha hahahaWanaume wa dar bhana...
tehehhe
Microwave bush la hatari, acha utaniKwanini ulale kwenye Tutubai wakati unaweza nunua sleeping bag ukaenda nalo?,
kwanini ule mihogo daily,wakati unaweza kwenda na ready to eat meal,ukawa unapasha moto kwenye microwave.......ooh wait...
Kama hautaweza kufikiria jambo kwa miaka 50 ijayo kuna uwezekano mkubwa ukafa maskini, ndo wale wazee walikua kariakoo enzi hizo kimara ni mapori na hawakununua viwanja.Hiyo biashara ya kutunza mzigo ni biashara ya kimaskini, inazuia mzunguko wa pesa, ni bora upate faida ndogo lakini uwe umezungusha pesa, mathalani baadala ya kutunza ungeyauza kwa faida ndogo, una chukua mengine unauza tena, ungejikuta umepata faida kubwa.
Nina rafiki yangu kama wewe, yeye alinunua Mahindi mengi akaweka ndani mimi nikawa nanunua nauza kwa faida ndogo, mwisho wa msimu nilikuwa nimetengeneza faida kubwa, yeye akala hasara.
Na wenzako hio buku 5 yako ya faida ya siku wananywea bia 2 tu imeisha.Mi nauza mihogo ya kukaanga kila siku napata faida ya buku tano . Mtaji elfu 30 tu tena Mihogo nanunua buguruni nauli kwenda na kurudi buku vitunguu buku 2 nyanya buku 2 pilipili 500!!.. faida haishuki chini ya buku5!!.. sina swaga kabisa na mbwembwe za mtaji wa milioni 5!.. nanunua kila siku na nauza kila siku na namaliza nyie hangaikeni tu na akili zenu mbovu za kulala porini na kuumwa na mbu mwisho wa siku unapata hasara ya buku kumi kila gunia wakati mi sijawahi kupata hasara...
AiseeMi nauza mihogo ya kukaanga kila siku napata faida ya buku tano . Mtaji elfu 30 tu tena Mihogo nanunua buguruni nauli kwenda na kurudi buku vitunguu buku 2 nyanya buku 2 pilipili 500!!.. faida haishuki chini ya buku5!!.. sina swaga kabisa na mbwembwe za mtaji wa milioni 5!.. nanunua kila siku na nauza kila siku na namaliza nyie hangaikeni tu na akili zenu mbovu za kulala porini na kuumwa na mbu mwisho wa siku unapata hasara ya buku kumi kila gunia wakati mi sijawahi kupata hasara...