Kwenye kupima mpunga siku zote mnunuzi ndo anapimaga mpunga ..usikubali kupimiwa na mwenye mpunga kamwe!
1.!unakua na ndoo yako...lita 20 zilw za rangi .coral paints .chukua mchanga uweke kwa sufuria uchemke kiasi ..ukishapata moto umwage mle kwenye ndoo then funika .! Ndoo itatanuka[emoji4]!..ukiingalia huoni tofauti ila inatanuka ..so ukiweka wewe debe lako moja ndoo inaendelea kudai mpunga...so debe 1 la ndoo y kawaida mle inaingia moja na nusu
Pili kupima mpunga sio unamimina ..usimimine utajipunja!..weka mpunga huku unaitwist ndoo unaizingusha had kitokee kitobo pale kati kadri unavyozidi kuweka endelea kuzungusha ndoo yako mpunga utakuwa unajishindikia .ukifika pale juu mara nyingi huwa no kisado kimoja kinajaza .sasa wataalam wanaweka sado 2! Ukifika pale juu anza kumimina mpunga wako .means unauweka mkononi mwako unaumimina ..pale utaingia mpunga mwingi sana mimina kwa mikono had kiweke kishungi juu..hilo debe ukijalipma kwa ndoo za kwaida ni ndoo 2 kamili...ndo maana unaona mwingine anakuambia kwa kila gunia unapata faida 10000!anakua hajuo kupima! Hizo ni tecnics tu za biashara y mpunga .sema ni wizi kama wizi mwingine!bila hivo mhh
Na