Vijana ni wakati wa kupiga pesa kwenye biashara ya mpunga

Shuktani boss hapa hivi inatakiwa ndogo za color paint tu
 
Hizi ndoo zilizochakachuliwa nlikua nadhan zinatengenezwaga kiwandan.

Zinauzwaga laki@pc pale k'koo

Nilinunua 6 mwaka juz.

Na Ni kweli kabisa,zinatoa ndoo 2 za kawaida

Hii biashara ya Michele ina Siri nyingi sana

Asante Sana kwa maarifa dada Wangari Maathai
 
Njoo uone kilimo cha mpunga kinavyosababisha vijana wanavyoteketeza pesa mbeya.
Mpunga inalipa ila inahitaji sana discpline ukitaka kujua faida ya zao njoo kipnd cha kilimo na mavuno uone pesa zinavyotumika...
hyo 5000 ya mdau wenzako watoto wadogo tu wanaipata tena kwa masaa
 
Pande zipi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…