Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Imagine baba mkwe wako ni simba wewe yanga, akifungwa uka shangilia.Ni aibu sana mkuu kwa mwanaume kukaa ukweni, ni aibu sana saana.
Maneno makubwa ila naona kama kwa pwani ni kama kumpigia mbuzi gitaa .Imagine baba mkwe wako ni simba wewe yanga, akifungwa uka shangilia.
anaweza kupa jibu la hovyo kudadadeki, utasikia kelele nyingi uko kwangu 😅
Kaka mlima hausikii, ila kuna mda una tikisika hao ng'ombe wataelewa tu.Maneno makubwa ila naona kama kwa pwani ni kama kumpigia mbuzi gitaa .
Amna majanga tu, sidhani kama mtibeli Robert Heriel Mtibeli atakubali kukaa ukweni.Familia za kitajili wanakaa tu, kwa sisi masikini tabu tupu.
Bwashee , mbona kawaida kuamka na mswaki na taulo ukiwa ukweni😃
Haiewezi aisee, na huo ni zaidi ya undezi.Bwashee , mbona kawaida kuamka na mswaki na taulo ukiwa ukweni😃
Amna majanga tu, sidhani kama mtibeli Robert Heriel Mtibeli atakubali kukaa ukweni.
mule mule, nashangaa watu kuona ukweni kama project ya kupunguza ukali wa maisha.Kijana Ukweni unaenda kusalimia tuu.
Lakini kukaa Ile kukaa uongo.
Inategemea unakaa kufanya nini. Kama ni houseboy sawa.
Kama ni shamba boy sawa
Kama ni mchunga ng'ombe sawa.
Kazi hiyo zinakuruhusu kukaa ukweni ikiwa ukweni ni kituo chako cha kazi.
Concept kuu kama kijana wakiume ni kutotegemea Ukweni, hata kama unaishi Dar wakwe wapo Kakonko. Kama unatumia pesa za mkeo anazotumiwa na Wazazi wako huko ni kukaa ukweni.
Kama unamtegemea mkeo KAZI yake ihudumie familia yako kwa asilimia zaidi ya 50 huko ni kukaa ukweni
Nimechoka kumtetea kijana hasikii huyu🤦🏽♀️
Intelli fvcking world!!mule mule, nashangaa watu kuona ukweni kama project ya kupunguza ukali wa maisha.
kiufupi wapenda vitonga na mseleleko wanaona it's fine, aisee pride ya mwanaume ilindwe.
mule mule, nashangaa watu kuona ukweni kama project ya kupunguza ukali wa maisha.
kiufupi wapenda vitonga na mseleleko wanaona it's fine, aisee pride ya mwanaume ilindwe.
Noma sana, mshipa wa aibu walisha ukata kitambo.Hizo ni Tabia za Vijana wa Mjini. Aina Fulani ya vijana wahovyo.