Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

1 Wakorintho 7:8,9 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.(BILA KUOA) Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
 
Mkuu leo hujataja kijambio, au umepokonywa simu?
 
 


Nione nipate mke au nioe niache zinaa? Maana huku kwenye ndoa sex is never a guarantee.
 
Me nadhani kuoa ni ngumu kutokana na milolongo mirefu ya ndoa za Afrika, ila vijana kwa sasa nawashauri wasiogope kuishi pamoja na wapenzi wao ili wajenge familia na muda ukienda kama mwaka hivi pamoja, basi wakabariki ndoa kanisani. Maana Maisha saivi yana make sense sana kwa vijana wenye majukumu, kusubiri mpaka muoane kwa formality kunachelewesha vijana kuanza kuishi pamoja.
Kingine, vijana msiogope kupambana nje ya Mkoa wa Daslam, mkiona mambo hayaendi mjini, hameni, nendeni kahama huko, Simiyu, Morogoro kapambaneni, kuna Fursa nyingi sana nje ya mkoa wa daslam, msikalie kudalalia simu sinza na makumbusho kama watoto wa mtaani kumbe ni wasomi wazuri kabisa wa UDSM.
 
Mungu hana mke na shetani hana mke, ni kwa nini sisi tuwe na wanawake? Ila tu tumeambiwa tuishi nao kwa kutumia akili.
Naweza kuchangia kwamba hawawote hawana jinsia.
Hivo jalibu kutofautisha.
Mungu sio mwanamke wala mwanaume.
Shetani sio mwanamke wala mwanaume.
 

Methali 25:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)

Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.
 
Hayo maandiko yanawahusu wale madragon wavuta shisha?
 
Wakorintho 1:7-8 "

"Na sasa nasema kwa wale wasioolewa na kwa wajane. Ingekuwa vizuri kama wangeendelea kuishi bila kuoa au kuolewa"...zingatia bolded texts
‭1 Wakorintho 7:8 BHN‬
[8] Basi, wale ambao hawajaoa na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo.

 
Wakorintho 1:7-8 "

"Na sasa nasema kwa wale wasioolewa na kwa wajane. Ingekuwa vizuri kama wangeendelea kuishi bila kuoa au kuolewa"...zingatia bolded texts
Mkuu mbona hujamalizia hilo andiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…