92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
mhh iko mamboMkuu,mleta mada ni shetani ama jinsia ke kwa ujumla ni mashetani 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhh iko mamboMkuu,mleta mada ni shetani ama jinsia ke kwa ujumla ni mashetani 😂😂
[emoji3][emoji3]Ndoa ni muunganiko wa wahuni wawili wenye malengo mawili tofauti.
Lengo la mume ni kuondoa sugu za upwiru kila alfajiri, na lengo la mke ni kufugwa na kulishwa ili kuepuka jua kali la saa saba.
Hapo katikati kuna msuguano mkali. Mchuano wa kukata na shoka baina ya upwiru na utapeli.
Cc : Binti Kimario Depal
😁😁😁 Really unataka mshangazi wa kumlizisha mimi nilisema nakupa shangazi yangu aged 70 huko ..... shangaz yangu mwenyewe maji anaita masi,chai anai sai,shangazi ananiita sangazi ,,,huyu ndiye anaakufaaJamani nataka angalia mpka nikaandika tangazo ila wapi...View attachment 2979016
🤔🤔🤔Mungu hana mke na shetani hana mke, ni kwa nini sisi tuwe na wanawake? Ila tu tumeambiwa tuishi nao kwa kutumia akili.
Huyo nilisema sitaki mimi...😁😁😁 Really unataka mshangazi wa kumlizisha mimi nilisema nakupa shangazi yangu aged 70 huko ..... shangaz yangu mwenyewe maji anaita masi,chai anai sai,shangazi ananiita sangazi ,,,huyu ndiye anaakufaa
😁🤣🤣😂😂😂😁😁Hela za mafao anazo ila nyama hawezi kula maana meno yameondoka na kinywaji chale ni togwa ila mafao anayo 😂😂Huyo nilisema sitaki mimi...
Huyo sasa takua mimi ndo namlea 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata kama pesa ngumu hivo hapo hapana.. fanya 70-20=50 iwe hapo
Mi ni mwaminifu ujue.... Sasa kuwa nae najua naweza ku mcheat aisee hilo siwezi😁🤣🤣😂😂😂😁😁Hela za mafao anazo ila nyama hawezi kula maana meno yameondoka na kinywaji chale ni togwa ila mafao anayo 😂😂
🤣🤣🤣🤣 Ngoja nimwambie shangazi yangu nimekupgia debe sana imeshindikana basi endelee KUKAA ujane wako 😭😭😥😥🤣Mi ni mwaminifu ujue.... Sasa kuwa nae najua naweza ku mcheat aisee hilo siwezi
Inategemea na kipato maskini anakula mradi ashibe, mwenye pesa anachangia taste ya chakula kwanza sasa hapo tunawekajeHuwa unakula ili usikie utamu wa chakula mdomo mwako au ili ushibe??Jibu lolote utakalopata hapo jijibu hapo juu swali lako
Basi mwambie. Mweeeeh tafanyaje tena.🤣🤣🤣🤣 Ngoja nimwambie shangazi yangu nimekupgia debe sana imeshindikana basi endelee KUKAA ujane wako 😭😭😥😥🤣
Hilo linawahusu watu ambao wataweza kukaa bila kufanya tendo la ndoa mpaka wanakufa, kwa dunia ya leo ni wachache sana wanaoweza hilo sharti tena wengi ni wanawake, kwahiyo ninyi oeni tu acheni kujifanya mnakataa ndoa halafu mnaendekeza uzinzi na kuzalisha hovyo tuMalizia mkuu
Sahihi mkuuHilo linawahusu watu ambao wataweza kukaa bila kufanya tendo la ndoa mpaka wanakufa, kwa dunia ya leo ni wachache sana wanaoweza hilo sharti tena wengi ni wanawake, kwahiyo ninyi oeni tu acheni kujifanya mnakataa ndoa halafu mnaendekeza uzinzi na kuzalisha hovyo tu
Kabla ya kukutana na yesu Maria Magdalena alikua anafanya ishu gani??tuta deal nao tuHilo linawahusu watu ambao wataweza kukaa bila kufanya tendo la ndoa mpaka wanakufa, kwa dunia ya leo ni wachache sana wanaoweza hilo sharti tena wengi ni wanawake, kwahiyo ninyi oeni tu acheni kujifanya mnakataa ndoa halafu mnaendekeza uzinzi na kuzalisha hovyo tu
Hayo Maandiko kuhusu Yesu, na Maria Magdalena umeyatoa wapi, mtadeal na akina naniKabla ya kukutana na yesu Maria Magdalena alikua anafanya ishu gani??tuta deal nao tu
Maria alikua kahaba,analala na wanaume analipwa,nasi tusioa tutafanyq hivyoHayo Maandiko kuhusu Yesu, na Maria Magdalena umeyatoa wapi, mtadeal na akina nani
Basi fanyeni at your own risk msiyasingizie maandiko kwamba yanawatambua msiooa, hao wanawake kufanya huo ukahaba haimaanishi haikuwa au siyo dhambi, linapokuja suala la kutokuoa msitoe reference toka kwenye maandikoMaria alikua kahaba,analala na wanaume analipwa,nasi tusioa tutafanyq hivyo
Ukiangalia vizuri umbile la MWANAUME na MWANAMKE ni dhairi utagundua kiumbe mwenye umbo kama la nyoka aliyemeza chura/shetani!!jinsia ke kwa ujumla ni mashetani. Kwani umesahau pale edeni kulitokea nini? Umesahau wafalme na wakuu mbali mbali jinsi walivyouwawa na ke samsoni, yohanna mbatizaji, magufuli, carlos, nk, unadhani hatujui lengo la mkutano wa beijing? Au makubaliano ya shetani na mwanamke? Yaani ke wote kwaujumla ni kaimu mashetani sababu wanamsaidia shetani kuharibu dunia,!
TunajuaMITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja.
1 WAKORINTHO 7
Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
MARKO 10:7
Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake.
MATHAYO 19;5
Na Mungu alisema,
'Hii ndiyo sababu mwanaume atawaacha baba na mama yake na kuungana na mke wake. Na hao watu wawili watakuwa m'moja
MWANZO 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili m'moja.
MWANZO 2:18-25
BWANA Mungu akasema,
Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
HahahaMITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja.
1 WAKORINTHO 7
Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
MARKO 10:7
Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake.
MATHAYO 19;5
Na Mungu alisema,
'Hii ndiyo sababu mwanaume atawaacha baba na mama yake na kuungana na mke wake. Na hao watu wawili watakuwa m'moja
MWANZO 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili m'moja.
MWANZO 2:18-25
BWANA Mungu akasema,
Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.