Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

[emoji3][emoji3]
 
😁😁😁 Really unataka mshangazi wa kumlizisha mimi nilisema nakupa shangazi yangu aged 70 huko ..... shangaz yangu mwenyewe maji anaita masi,chai anai sai,shangazi ananiita sangazi ,,,huyu ndiye anaakufaa
Huyo nilisema sitaki mimi...
Huyo sasa takua mimi ndo namlea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata kama pesa ngumu hivo hapo hapana.. fanya 70-20=50 iwe hapo
 
Huyo nilisema sitaki mimi...
Huyo sasa takua mimi ndo namlea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata kama pesa ngumu hivo hapo hapana.. fanya 70-20=50 iwe hapo
πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜Hela za mafao anazo ila nyama hawezi kula maana meno yameondoka na kinywaji chale ni togwa ila mafao anayo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜Hela za mafao anazo ila nyama hawezi kula maana meno yameondoka na kinywaji chale ni togwa ila mafao anayo πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi ni mwaminifu ujue.... Sasa kuwa nae najua naweza ku mcheat aisee hilo siwezi
 
Mi ni mwaminifu ujue.... Sasa kuwa nae najua naweza ku mcheat aisee hilo siwezi
🀣🀣🀣🀣 Ngoja nimwambie shangazi yangu nimekupgia debe sana imeshindikana basi endelee KUKAA ujane wako 😭😭πŸ˜₯πŸ˜₯🀣
 
Huwa unakula ili usikie utamu wa chakula mdomo mwako au ili ushibe??Jibu lolote utakalopata hapo jijibu hapo juu swali lako
Inategemea na kipato maskini anakula mradi ashibe, mwenye pesa anachangia taste ya chakula kwanza sasa hapo tunawekaje
 
Malizia mkuu
Hilo linawahusu watu ambao wataweza kukaa bila kufanya tendo la ndoa mpaka wanakufa, kwa dunia ya leo ni wachache sana wanaoweza hilo sharti tena wengi ni wanawake, kwahiyo ninyi oeni tu acheni kujifanya mnakataa ndoa halafu mnaendekeza uzinzi na kuzalisha hovyo tu
 
Sahihi mkuu
 
Kabla ya kukutana na yesu Maria Magdalena alikua anafanya ishu gani??tuta deal nao tu
 
Kabla ya kukutana na yesu Maria Magdalena alikua anafanya ishu gani??tuta deal nao tu
Hayo Maandiko kuhusu Yesu, na Maria Magdalena umeyatoa wapi, mtadeal na akina nani
 
Maria alikua kahaba,analala na wanaume analipwa,nasi tusioa tutafanyq hivyo
Basi fanyeni at your own risk msiyasingizie maandiko kwamba yanawatambua msiooa, hao wanawake kufanya huo ukahaba haimaanishi haikuwa au siyo dhambi, linapokuja suala la kutokuoa msitoe reference toka kwenye maandiko
 
Ukiangalia vizuri umbile la MWANAUME na MWANAMKE ni dhairi utagundua kiumbe mwenye umbo kama la nyoka aliyemeza chura/shetani!!
 
Tunajua
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…