Vijana oeni wanawake wanaowapenda, pesa zako sio chochote ndani ya mapenzi na ndoa


Hakuna kiumbe Chenye utashi ambacho kitakosa kitu kinaitwa upendo.
Elewa pia kwenye mapenzi, Mwanamke hawezi kukutii kama Hakupendi.

Mwisho kabisa, Wanawake WA zamani walifanyiwa ukatili ndio maana walichaguliaa wanaume wa kuwaoa.
Na Wazazi waliofanya hivyo wengi wao ni wabinafsi na wajinga kupitiliza.

Swali pekee ambalo mzazi atamuuliza Binti yake Wakati anaolewa ni "unauhakika unampenda kijana huyu/yule?" Lakini wazazi wabinafsi na majinga ndio yanaangalia tuu Mali na mwishowe huenda kuwatesa Binti zao.

Mwanamke anapenda, ingawaje upendo wake haufanani na upendo wa Sisi wanaume. Kama vile ilivyo, Sisi wanaume tunapenda lakini upendo wetu haufanani na Wanawake.

Haki, upendo, ukweli na AKILI. Binadamu atahitaji mambo hayo ili aweze kuishi Kwa Raha. Na Mwanamke pia ni binadamu.

Ni ninyi mnaoishi katika Zama za kale mnaodanganyana na kujifanya hamuwaelewi Wanawake kumbe mnawatafsiri Kwa namna isiyofaa, mliyoikuta, au mlioamua kuchagua.

Zamani mlisema Mwanamke hawezi kuwa Daktari, sasa wapo kibao, zamani mlisema Mwanamke hawezi kuongoza familia, sasa hivi wapo kibao wanaoongoza Familia na hata makampuni makubwa.

Unapomjadili Mwanamke Jambo la Kwanza ni kuelewa kuwa ni binadamu/MTU kama alivyo mwanaume.
Ingawaje tofauti chache zipo.
 

Ni Kweli.

Unafikiri ni Kwa nini Watu wanalalamika kuwa Mwanamke akipata Pesa anabadilika na kuwa Jeuri?

Jibu ni kuwa, Mwanamke asipokupenda anaweza ku- pretend kuwa ni Mkeo ili apate unafuu wa Maisha (hawa ndio wapo wengi) lakini siku naye kipato kikiongezeka au akija mwenye uwezo zaidi yako, au Yule anayempenda akimfuata ataanza vitimbi mpaka ukome.

Ni rahisi Mwanamke kuishi na Mwanaume asiyempenda kwani ni Wazuri Kwa kuigiza, lakini siku ukifilisika ndio utaimba Hallelujah.
 
Nikupe tu taarifa kuna jeuri za aina nyingi
1. Jeuri ya asili tu/tabia ila anaficha makucha aolewe regardless ana pesa au hana ila akiwa hana pesa akiipata ndo anafungua makucha yake
2. Jeuri ya kujazwa ujinga na mitandao au watu wanaomzunguka
3. Jeuri ya malipizi, kama mwanaume alikua anamnyanyasa wakati yupo yupo tu iwe kihisia au physically akizipata lazima uone ana kiburi sababu ukimnyanyasa hawezi kuvumulia tena.


All in all kijana achana na theories, tengeneza your own love story, pendana na mtu acha vitu viflow naturally vikiwork haya vikiwa vigumu kiasi cha kutorekebishika sepa.
Humu mtandaoni mnajazana ujinga tu kwa kucopy story za waliofeli
 

Kikawaida Watibeli ni washindi.
Na hawajifunzi Kwa walioshindwa. Ila wanajifunza jinsi walivyoshinda.
Ndio maana tunatoa hesabu.

Jeuri MTU huzaliwa nayo. Hakuna Jeuri ya malipizi wala Jeuri ya kujazwa ujinga.

MTU hawezi mletea Jeuri MTU anayempenda. Hiyo haipo na haitakuja kutokea
 
Baba yako ni Tajiri alipopendwa na Mama yako?
Ndio utajua kuwa Mimi na wewe Nani anaakili za kitoto.

Koo karibu zote TANZANIA NI fukara na zipo na ndoa alafu wewe unajifanya unaakili
Ndio baba yangu tajiri unafikiri yupo kiboya boya kama wewe mwanaume ukiwa hauna pesa unakua hauna tofauti na demu
 
Mimi nafikiri, kijana anapaswa aoe mke mwenye utii.
Kwa mtazamo wangu, mwanamke akiwa mtii huweza kukava kilakitu kwa uhitaji wa mwanaume.
Nionavyo mimi, mwanaume ndie anapaswa kumpenda mwanamke wake.
Nakazia ✍️✍️
Hata maandiko husema hivyo.

Mke akiwa mtiifu mumewe lazima ampende, and vice versa
 
Acha kujidanganya kijana.....upendo unahitaji kutunzwa ili uendelee kuchanua, usitegemee umnyanyase na kumfanyia vibaya mwenza wako kwa kigezo eti ananipenda hapindui haipo hiyo kizazi hiki.
It takes two to tangle and unavuna unachopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…