Mzinza wa town
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 347
- 369
Tumesoma yote haya mkuu. Darasa moja, walimu walewale na mitihani yote the samemkuu so kwenye clinical pharmacology mnajifunza mpaka M.OA,contraindication,Adverse reaction,side effect,interaction,.....Pharmacokinetics on drug-Absorption,Distribution,metabolism,Excretion... plus Clinical uses/clinical indication....kweli watu wa MD nao wanasoma vyote hivi???? basi poleni
Nazungumzia clinical pharmacology mkuuDuuuh mwanangu...sio nurse wala MD ambae anasoma Deep Pharmacology kama pharmacist mkuu....
Mkuu kwa experience yangu kubwa niliyonayo Nurse wansoko sana hao EN na RN hapo sipingi kabisa pengine kuliko programme zote uko just kwenye bachelor naona almost the same hasa upande wa GVT ila ila private nurse wanapigika tu mtaani!! MD aongeze Masters hao jamaa wanabaki kuwa lulu sanaHapa nakubaliana na wewe. Ni kweli MD inakwenda kupoteza soko kwenye ajira.
Qualification entire ndo nini...kajipige msasaUkitakujua nursing ni kipumbavu kwa tz we angalia qualification entire kwa nurse wa diploma harusiwi kusoma MD ila Co anaruhusiwa kusoma nursing wkt entrance za kusoma diploma na certificate ya nursing na clinical medicine zipo sawa
Vijana nasisitiza tena na tena, kama wewe unatoka familia maskini ambayo unategemewa upate ajira ili usaidie familia yako course yenye uhakika wa angalau kupata ajira ndani na nje ya Nchi ni Uuguzi. Kama unataka kujiajili mwenye we pharmacy ni ya kwanza na nursing inafuata.Qualification entire ndo nini...kajipige msasa
Mhhh hii ni balaa! Unaonesha ww hujui kitu kabisa! St John's wanatoa course ya udaktari toka lini??? Na cutting point ya nursing ipo juu kuliko ya udaktari toka lini??? Hebu uwe unasoma au kama vitu huvijui it's better ukakaa kimya na sio kuleta data za uongo tu ili kupamba kituVijana nasisitiza tena na tena, kama wewe unatoka familia maskini ambayo unategemewa upate ajira ili usaidie familia yako course yenye uhakika wa angalau kupata ajira ndani na nje ya Nchi ni Uuguzi. Kama unataka kujiajili mwenye we pharmacy ni ya kwanza na nursing inafuata. Habari za MD ilikuwa zamani hizoooo mama yako hajazaliwa. Hebu fikiria TU muhimbili kila mwaka inazalisha madaktari wapy 300, KCMC 300, Bugando 310, Kairuki 270, UDS 350, Kampala International University 360, UDom 500, na St. John's 400. Hebu nambie hao ni kwa mwaka mmoja TU na kila siku juhudi kwenye vyuo zinafanyika ili kuongeza majengo na walimu ili kuongeza udahili wa wanafunzi hao, na TCU imeshusha ufaulu wa kujiunga na kozi ya MD hadi DDD, Yani D physics, D kemia vna D biology. Ufaulu wa kujiunga na kozi ya nursing chuo kikuu uko juu kuliko ule wa MD, bila kuwa na C ya kemia huwezi kujiunga na Uuguzi. Jamani msidanganywe na historia, fuata trend
Kuhusu St John's labda ni typing error.Mhhh hii ni balaa! Unaonesha ww hujui kitu kabisa! St John's wanatoa course ya udaktari toka lini??? Na cutting point ya nursing ipo juu kuliko ya udaktari toka lini??? Hebu uwe unasoma au kama vitu huvijui it's better ukakaa kimya na sio kuleta data za uongo tu ili kupamba kitu
Nakazia hapa...Mleta Maada rejea.Mhhh hii ni balaa! Unaonesha ww hujui kitu kabisa! St John's wanatoa course ya udaktari toka lini??? Na cutting point ya nursing ipo juu kuliko ya udaktari toka lini??? Hebu uwe unasoma au kama vitu huvijui it's better ukakaa kimya na sio kuleta data za uongo tu ili kupamba kitu
Duuh!! Sifahamu unamaanisha nini hapo, kazi ya kupika tulidhani kuwa ni ya kike lakini kumbe sio, mahoteli yote, jeshini, nk utawakuta wanaume wwngi wanapika na kuhudumu. Nimezaliwa nimemkuta baba ni nesi, mhadhri ana magari, nyumba kadhaa, biashara na sisi ametusomesha wote hadi vyuoni. Nadhani unaongea upuzi. Kila mtumishi pale hospitali ni kwaajili ya mgonjwa tu basi.Kazi Ya Kisister Du.
Najiribu Kuwaza Wewe
Ni Baba Uliye Somea Unesi
Mtoto Wako Tena Wa Kike Anakuuliza "Baba Unafanya Kazi Gani " Unabaki Kulamba Lips Tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
St Joseph BunjuMhhh hii ni balaa! Unaonesha ww hujui kitu kabisa! St John's wanatoa course ya udaktari toka lini??? Na cutting point ya nursing ipo juu kuliko ya udaktari toka lini??? Hebu uwe unasoma au kama vitu huvijui it's better ukakaa kimya na sio kuleta data za uongo tu ili kupamba kitu
Cutting point kwa kozi zote za afya ni 6 utofauti ni masomo tu yaliyopo ndani na ni mdogo tu sio kwamba eti nursing ina Cutting point kubwa kuliko course nyingine sio sahihi! Mwenyewe nazani unaona hapo ni 6 koteKuhusu St John's labda ni typing error.
Kuhusu hizo point za kuingilia wewe upo gizani.View attachment 2059033
Kozi zote za afya zinahitaji ufaulu masomo ya sayansi, hasa PCB. Mbaya zaidi kusoma MD siku kumeshushwa kabisa ufaulu kuliko wa digrii ya uuguzi, yaani kusoma MD unahitaji kupa D tu kwwnye Physics, Biology na Chemistry, wakati kuchaguliwa digrii ya uunguzi lazima ufaulu wa chemistey usipungue CCutting point kwa kozi zote za afya ni 6 utofauti ni masomo tu yaliyopo ndani na ni mdogo tu sio kwamba eti nursing ina Cutting point kubwa kuliko course nyingine sio sahihi! Mwenyewe nazani unaona hapo ni 6 kote