Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

mkuu so kwenye clinical pharmacology mnajifunza mpaka M.OA,contraindication,Adverse reaction,side effect,interaction,.....Pharmacokinetics on drug-Absorption,Distribution,metabolism,Excretion... plus Clinical uses/clinical indication....kweli watu wa MD nao wanasoma vyote hivi???? basi poleni
Tumesoma yote haya mkuu. Darasa moja, walimu walewale na mitihani yote the same
 
Hapa nakubaliana na wewe. Ni kweli MD inakwenda kupoteza soko kwenye ajira.
Mkuu kwa experience yangu kubwa niliyonayo Nurse wansoko sana hao EN na RN hapo sipingi kabisa pengine kuliko programme zote uko just kwenye bachelor naona almost the same hasa upande wa GVT ila ila private nurse wanapigika tu mtaani!! MD aongeze Masters hao jamaa wanabaki kuwa lulu sana
 
Jamii na hata baadhi ya madaktari bado wako kwenye ile enzi ya muuguzi wa one year course, enrolled na diploma. Diploma ndo alikuwa the highest cadre kwenye ngazi za uuguzi hapa nchini. Hawa wengi wao walikuwa almost failures/makapi kwenye mfumo wa elimu, hivyo reasoning kwao ilikuwa shida. Sasa hivi si vile tena mgonjwa siku hizi Yuko salama zaidi mikononi nwa dakt na muuguzi wenye viwango vya elimu vyenye uwiano sawa
 
Malengo ya group hili:-
1. Kuwapa fursa wanafuzi wa kidato cha six kuuliza maswali yoyote ya kielimu
2. Kuwapa taarifa sahihi kuhusiana na nafasi za masomo na mikopo ya elimu ya juu.
3. Kuwasaidia katika kufanya maombi ya vyuo na mikopo ya elimu ya juu.
4. Kuwashauri kufanya chaguo za kozi na vyuo mbalimbali baada ya matokeo kwa mujibu ya ufaulu wao.

KARIBU SANA
 
Ukitakujua nursing ni kipumbavu kwa tz we angalia qualification entire kwa nurse wa diploma harusiwi kusoma MD ila Co anaruhusiwa kusoma nursing wkt entrance za kusoma diploma na certificate ya nursing na clinical medicine zipo sawa
Qualification entire ndo nini...kajipige msasa
 
Qualification entire ndo nini...kajipige msasa
Vijana nasisitiza tena na tena, kama wewe unatoka familia maskini ambayo unategemewa upate ajira ili usaidie familia yako course yenye uhakika wa angalau kupata ajira ndani na nje ya Nchi ni Uuguzi. Kama unataka kujiajili mwenye we pharmacy ni ya kwanza na nursing inafuata.

Habari za MD ilikuwa zamani hizoooo mama yako hajazaliwa. Hebu fikiria TU muhimbili kila mwaka inazalisha madaktari wapy 300, KCMC 300, Bugando 310, Kairuki 270, UDS 350, Kampala International University 360, UDom 500, na St. John's 400. Hebu nambie hao ni kwa mwaka mmoja TU na kila siku juhudi kwenye vyuo zinafanyika ili kuongeza majengo na walimu ili kuongeza udahili wa wanafunzi hao, na TCU imeshusha ufaulu wa kujiunga na kozi ya MD hadi DDD, Yani D physics, D kemia vna D biology.

Ufaulu wa kujiunga na kozi ya nursing chuo kikuu uko juu kuliko ule wa MD, bila kuwa na C ya kemia huwezi kujiunga na Uuguzi. Jamani msidanganywe na historia, fuata trend
 
Vijana nasisitiza tena na tena, kama wewe unatoka familia maskini ambayo unategemewa upate ajira ili usaidie familia yako course yenye uhakika wa angalau kupata ajira ndani na nje ya Nchi ni Uuguzi. Kama unataka kujiajili mwenye we pharmacy ni ya kwanza na nursing inafuata. Habari za MD ilikuwa zamani hizoooo mama yako hajazaliwa. Hebu fikiria TU muhimbili kila mwaka inazalisha madaktari wapy 300, KCMC 300, Bugando 310, Kairuki 270, UDS 350, Kampala International University 360, UDom 500, na St. John's 400. Hebu nambie hao ni kwa mwaka mmoja TU na kila siku juhudi kwenye vyuo zinafanyika ili kuongeza majengo na walimu ili kuongeza udahili wa wanafunzi hao, na TCU imeshusha ufaulu wa kujiunga na kozi ya MD hadi DDD, Yani D physics, D kemia vna D biology. Ufaulu wa kujiunga na kozi ya nursing chuo kikuu uko juu kuliko ule wa MD, bila kuwa na C ya kemia huwezi kujiunga na Uuguzi. Jamani msidanganywe na historia, fuata trend
Mhhh hii ni balaa! Unaonesha ww hujui kitu kabisa! St John's wanatoa course ya udaktari toka lini??? Na cutting point ya nursing ipo juu kuliko ya udaktari toka lini??? Hebu uwe unasoma au kama vitu huvijui it's better ukakaa kimya na sio kuleta data za uongo tu ili kupamba kitu
 
Kuhusu St John's labda ni typing error.
Kuhusu hizo point za kuingilia wewe upo gizani.
Screenshot_20211227-083223_Drive.jpg
 
Mhhh hii ni balaa! Unaonesha ww hujui kitu kabisa! St John's wanatoa course ya udaktari toka lini??? Na cutting point ya nursing ipo juu kuliko ya udaktari toka lini??? Hebu uwe unasoma au kama vitu huvijui it's better ukakaa kimya na sio kuleta data za uongo tu ili kupamba kitu
Nakazia hapa...Mleta Maada rejea.
 
Kazi Ya Kisister Du.
Najiribu Kuwaza Wewe
Ni Baba Uliye Somea Unesi
Mtoto Wako Tena Wa Kike Anakuuliza "Baba Unafanya Kazi Gani " Unabaki Kulamba Lips Tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh!! Sifahamu unamaanisha nini hapo, kazi ya kupika tulidhani kuwa ni ya kike lakini kumbe sio, mahoteli yote, jeshini, nk utawakuta wanaume wwngi wanapika na kuhudumu. Nimezaliwa nimemkuta baba ni nesi, mhadhri ana magari, nyumba kadhaa, biashara na sisi ametusomesha wote hadi vyuoni. Nadhani unaongea upuzi. Kila mtumishi pale hospitali ni kwaajili ya mgonjwa tu basi.

Hivyo bosi pale ni mgonjwa anaehudumiwa na dk, nesi, maabara, mfamasia, phyisio, mfagiaji, mortuary attendant, dereva nk. Sisemi kuwa uuguzi ni bora kuliko udk au ufamasia, lakini nasema una fursa nyingi kuliko udk
 
Mhhh hii ni balaa! Unaonesha ww hujui kitu kabisa! St John's wanatoa course ya udaktari toka lini??? Na cutting point ya nursing ipo juu kuliko ya udaktari toka lini??? Hebu uwe unasoma au kama vitu huvijui it's better ukakaa kimya na sio kuleta data za uongo tu ili kupamba kitu
St Joseph Bunju
 
Kuhusu St John's labda ni typing error.
Kuhusu hizo point za kuingilia wewe upo gizani.View attachment 2059033
Cutting point kwa kozi zote za afya ni 6 utofauti ni masomo tu yaliyopo ndani na ni mdogo tu sio kwamba eti nursing ina Cutting point kubwa kuliko course nyingine sio sahihi! Mwenyewe nazani unaona hapo ni 6 kote
 
Kozi zote za afya zinahitaji ufaulu masomo ya sayansi, hasa PCB. Mbaya zaidi kusoma MD siku kumeshushwa kabisa ufaulu kuliko wa digrii ya uuguzi, yaani kusoma MD unahitaji kupa D tu kwwnye Physics, Biology na Chemistry, wakati kuchaguliwa digrii ya uunguzi lazima ufaulu wa chemistey usipungue C
 
Back
Top Bottom