Hongera SanaSidhani kama utakuwa sawa ukiogopa kuitwa nurse, mimi ni nurse na ni Me, wala sina tatizo, mbona ni sawa tu kwangu, maana hata avatar yangu inajieleza kabisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera SanaSidhani kama utakuwa sawa ukiogopa kuitwa nurse, mimi ni nurse na ni Me, wala sina tatizo, mbona ni sawa tu kwangu, maana hata avatar yangu inajieleza kabisa?
Mtoa mada nakuunga mkono, position nilipo naiona hii fursa ya ajira kupitia uuguzi.Nimezunguuka dunia hii hususani Ulaya, Marekani, Australia, na Asia, kote huko nimekuta Uuguzi (Nursing) ikiwa na fursa nyingi sana kuliko kada nyingine za Afya. Kule Marekani Uuguzi uko juu kwa ajira, malipo na kulidhika (satisfaction) ukifuatiwa na udakatari wa memo (dentist).
Vijana wengi wanadhani kuwa udaktari ndio taaluma yenye pesa na hadhi, labda hiyo ilikuwa zamani sana zilizopita wakati Tanzania kulikuwa na chuo kimoja tu cha sayansi za tiba (Muhimbili). Sasa hivi hali sio hiyo tena, udaktari sio dili tena baada ya zaidi ya wahitimu zaidi ya 2000 nchini kuhitimu kila mwaka kutoka vyuo mbalimbali. Wahitimu wa Udakatari wanasota mitaani ukilinganisha na wahitimu wa Uuguzi. Na wengi wao wanafanyakazi zisikuwa za kidaktari kama biashara,na uongozi. Kule Marekani na Ulaya wako madaktari ambao wameamua kusoma upya kozi ya uuguzi ili wapate manufaa kwa urahisi.
Sababu hasa ya mapinduzi haya ni:
1. Hospitali nyingi zinaajiri Madakatari wachache kuliko Wauguzi, hivyo wauguzi wanahitajika wengi kuliko madakatari.
2. Manesi wana taaluma nyingi ukilinganisha na madaktari, hivyo unaweza ukawatumia pia kwa kazi nyingi nyingine kama vile kwenye Uongozi, kutoa na kutunza dawa, kuzalisha, chanjo, stoo, maabara, kupima na kuhudumia watoto, utafiti, komputer/data, au Ualimu, kwasababu mtaala wa Uuguzi unawafundisha vitu vingi sana mbali ya uuguzi wa wagonjwa.
3. Mapato makubwa. Mbali ya mshahara lakini wauguzi wana overtime nyingi, seminar na mafunzo mengi ya kila wakati ambayao yanawaongezea kipato. Wauguzi wanaweza kufungua na kumiliki Maternity Home zao wenyewe na wanaweza kufungua au kutoa huduma kwenye maduka ya dawa muhimu. Daktari mara nyingi anapata kipato cha ziada kwa "kujilipua". Yaani kuhangaika na kutafuta part-time kwenye vi-hospitali mbalimbali wakati ule anaopaswa kupunzika na familia yake ili aweze kujiongezea kipato.
4. Wauguzi siku hizi wanasoma hadi ngazi ya PhD sawa na madaktari kitu ambacho zamani hakikuwepo, hizo siku hizi wauguzi wanafanya tafiti kubwakubwa wao wenyewe na kuandika vitabu na machapisho mbalimbali.
5. Wauguzi wanasomesha watoto wao, wanajenga nyumba, wanaendesha magari yao na ni viongozi wakubwa.
Vijana jiungeni na uuguzi kwa wingi fursa zipo huko pia, avuamae bahari papa kumbe wengine wapo. Achananeni na mawazo ya kizamani.
Ukisema hivyo ujue pia Kuna Co's hadi tertiary settings,, hivi ratio ya Dr's na population ikoje chief?MMED ndo wachache MDs wengi mno hadi health centers wanaajiriwa siku hizi
Kwahyo ww unachoona shida ni kuitwa nurse mbele za watu!!...embu acha ujinga na zama za kale hii ni karne ya 21 mambo kama hayo yaache!Nimekuelewa chief kuwa nurses Wana fulsa nyingi ama nafasi zao hutangazwa kwa wingi kuliko MD's. Sababu iliyopo ni saving,,,, unaposemea fulsa sijui mnaangalia idadi inayotangazwa au uhitaji wa jamii husika. MD's hata zikitangazwa nafasi tano kwenye setting fulan huwa hawapatikan kirahisi pia... So fulsa zipo na nawaencourage vijana waombe tuu coz anayopenda wa nursing aombe ingawa nurse wa kiume ukimwita "nurse"mbele ya mgonjwa inaonekana shida pia na anaweza asikuitikie kabisa..,,,,
sawa mkuu kwahyo ww ni nurseNina uhakika. Na ukae ukijua mimi sio mwanafunzi shule nilishamaliza na nimepractise hospitali na health centers tofauti tofauti
Zaidi ya Nurse. Nimefanya kazi na medical attendants, nurses wa certificate hadi degree lakini kwa upande wa intern nurses walio wengi sijafurahishwa na competence yao, nurses wa masters nilikutana nao mazingira ya shule tu nao bado ni wachache sana.sawa mkuu kwahyo ww ni nurse
Tertiary setting ipi ina COs? Kwa navyojua Tertiary setting ni kama MNH, BMC, KCMC na MZRH. Kama hizi hospitali za rufaa za kanda zina COs basi tuna balaa kubwa sana katika sekta ya afya. Mimi niliposomea hata wale AMOs hawapoUkisema hivyo ujue pia Kuna Co's hadi tertiary settings,, hivi ratio ya Dr's na population ikoje chief?
Kumbuka nesi hajui systemic pathology and these is the mainstay in diagnosing diseases...half unavosema nesi anaisoma anatomy kumbuka anatomy ya nesi sio sawa na ya daktari,doctor anasoma hadi dissectional anatomy huku nesi akiishia theory tu...sjui labda n kwa chuo nachosoma mm ila nesi na Dr kuwa sawa utatumia muda sana kuniaminishaKaka udaktari una ngazi kuanzia ngazi ya chini kabisa ya Assistant Clinical officer, Clinical Officer, Medical Officer, Masters na PhD. Hata uuguzi nao unaanzia Certificate, Diploma, Bachelor, Masters na PhD. Madaktari mara nyingi huwa mnakutana wodini na wauguzi wenye Certificate, Diploma au Health attendants. Hao pia wana elimu ndogo kiwango cha ACO na COs wenu ndio maana huoni makali yao na wanakusikiliza mwanzo mwisho hata ukiboronga. Lakini Nesi mwenye degree ana kiwango cha Anatomy, physiology, Biochemistry, Microbiology, Pharmacology, Parasitology, DS, Biostatistics, Epidemiology sawa na kile cha Daktari. Baada ya hapo anakuwa Obstetrics ya hali ya juu, surgery, medical na Pharmacology nyingine ya hali ya juu kuliko daktari. Unafundishwa leadership na management kubwa.
Fanyakazi na Muuguzi mzoefu mwenye degree au Masters ili uone atakavyokuendesha puta.
Hao uliowaona wewe ni certificate na diploma. Hakuna Daktari ambaye hajafundishwa na kuonyeshwa cha kufanya na muuguzi.
Unachoongea inaweza kuwa kweli...market ya udaktari inaweza ikawa ni ndogo kulko ya unesi kwa sababu kuajili docta is very expensive kulko nesi...kumbuka vitu vya bei poa vina walaji wengi sanaWanaojiunga na uuguzi wanazidi kuongezeka vyuoni, wewe baki na kimanati shingoni, hata wewe ukiumwa utawakuta wauguzi shupavu wodini wakuonyeshe nini cha kufanya. Yaani hakuna profession ya afya ambayo ni Superior to one another, they need to coexist, hata hivyo market ya udaktari inazidi kupungua na ile ya uuguzi inazidi kwenda juu. Hiki ndicho ninachojaribu kuwaeleza vijana ambao wanaona prestige kuitwa Dr. Ona sasa vijana waliohitimu udaktari ambao hawana ajira no wengi sana na November wanaingia wengine sokoni. Ona ilipotangazwa madaktari walivyo kurupuka kwenda Kenya kuchukua nafasi ya waliogoma kule. Ile ni aibu kwa udaktari duniani. Kama ungekuwa profession adimu tusingeona aibu Ile
Asome systemic pathology ili naye awe daktari? Yeye ni nurse ana mambo yake ya kusoma ambayo wewe ukiwa unasoma hiyo pathology yeye anayake mengine anasoma but mwisho wa siku wote mtakutanishwa kwa mgonjwa. Nursing na Medicine ni vitu viwili tofautiKumbuka nesi hajui systemic pathology and these is the mainstay in diagnosing diseases...half unavosema nesi anaisoma anatomy kumbuka anatomy ya nesi sio sawa na ya daktari,doctor anasoma hadi dissectional anatomy huku nesi akiishia theory tu...sjui labda n kwa chuo nachosoma mm ila nesi na Dr kuwa sawa utatumia muda sana kuniaminisha
Acha kukoment kwa mihemko na pengine u mwanafunzi na kama ni daktari utakuwa clinician tu huna uongozi wowote. Twende kwa topic; Unazungumzia nurse wa level ipi na daktari wa level ipi? Kwa upande wa Nurses kuanzia level ya certificate wanatambulika kama nurses lakini kwa upande wa madaktari ni kuanzia level ya degree wewe ndo angalau kidogo unakuwa daktari.Unachoongea inaweza kuwa kweli...market ya udaktari inaweza ikawa ni ndogo kulko ya unesi kwa sababu kuajili docta is very expensive kulko nesi...kumbuka vitu vya bei poa vina walaji wengi sana
Mishahara yote sekta ya afya ni kidogo na ndio maana wajanja wanafanya mambo mengine.Kama ktk hospital moja wanaajiri wauguzi wengi kuliko madaktari inamaana kuwa hawawezi kulipwa vizuri kuliko MD's.
Historically na jamii inavyoichukulia lakini kiuhalisia hali ni tofauti siku hizi kwa sababu nyingi lakini kwa leo nakupa hii kwa mfano halisi: Nenda Bugando, Muhimbili, KCMC, UDOM, St John's university kaangalie wanao soma bachelor of Nursing utakuta Me ni wengi kuliko wanawake na kwa vyuo vya Diploma vivyo hivyo. Hii ni kwa sababu entry qualifications zimebana tofauti na zamani ambapo hata ambaye hakusoma PCB alisoma nursing.Ulichokisema ni kweli ila hii in fani ya kike. Nawasilisha