Vijana tafuteni pesa, mapenzi hayana umri ukiwa na pesa

muvi gani hiyo??? naija au?
 
Bilionea mchezo.
Kuwa na ubilionea wa madafu tu ni ishu, yani u stack million million mpaka zifike elfu moja ndio unakuwa billionea wa kibongo😅.

Ukizungumzia ubillionaire in USD thats another case wabongo walioweza kuufikia ni Mo Dewji tu na wengine tusiowajua!
 
kwa mbali ni Ka Marehemu Dr.Mengi na yule bi-mdogo
 
Mmh pesa haijawahi kushindwa [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Sasa huyo wapopo watakua wameolewewa tu,atakua anakula mishedede kila upande,mzee yuko busy na biashara
 
Yaani hizo hela unahimiza watoto wa kiume wazitafute ili waje wawanunue Kama midoli ya kupigia puli


Jambo la kutafuta hela ni la jinsia zote halina mjadala.

Mkuu umeongea kwa ukali sana heheheheheh...

Hapo hata Sikio la kufa lazima lisikie dawa.
 
Ko unamaanisha maskini ndo wana mapenz ya dhati...shtuka ww utaibiwa...tafta hela , mengine yatabalance...hata maskini nao wahuni tu,...Kwan ni matoz wangap maskini kitaa wanatutombea dada zetu na hawawapend...ss wenyewe ni watombaj wazur tu ni masking pia ..focus kweny hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…