Vijana tafuteni pesa, mapenzi hayana umri ukiwa na pesa

Vijana tafuteni pesa, mapenzi hayana umri ukiwa na pesa

Kuna movie niliangalia, kijana tajiri alikua anatafuta mchumba. Alikwenda mbali kutafuta chumba na kuishi kisela ili ampate mke atakae mpenda kimapenzi.

Alimuangukia beauty Queen mmoja mtaani, dada alikataa katakata akidai hataki kuambukizwa umasikini. Mwanaume anapikia jiko la mafuta hata jiko la gas hana.

Alikuja kupendwa na dada mmoja na alimuoa. Siku ya harusi ndiyo watu walijua bwana harusi ni tajiri. Beauty Queen alikunywa sumu kuona alitupa kipande cha almasi chooni.
muvi gani hiyo??? naija au?
 
Bilionea mchezo.
Kuwa na ubilionea wa madafu tu ni ishu, yani u stack million million mpaka zifike elfu moja ndio unakuwa billionea wa kibongo😅.

Ukizungumzia ubillionaire in USD thats another case wabongo walioweza kuufikia ni Mo Dewji tu na wengine tusiowajua!
 
Mwanadada Regina Daniels(21) asherehekea mume wake huyo Ned Nwoko(61) kumtumia zawadi ya Xmas dola $50,000 ambazo ni zaidi ya milioni 115 za Kibongo. Mrembo huyo ambaye ni mwigizaji maarufu Nigeria ametupia screenshot ya hamisho la pesa hizo

Wawili hao walifunga ndoa 2019 na wana mtoto mmoja, hata hivyo, Regina Daniels anatajwa kuwa ni mke wa 6 wa mfannyabishara huyo tajiri mwenye wake wengine na watoto mbalimbali

Kwa upande wako wewe eti sikukuu hii mpenzi wako kakupa zawadi gani?

View attachment 2058974
kwa mbali ni Ka Marehemu Dr.Mengi na yule bi-mdogo
 
Kweli mapenzi sio pesa ila pesa inakuweka kwenye nafasi nzuri ya kupigania penzi.

Kaka zangu tafuteni pesa. Mwanaume mwenye pesa haachwi kirahisi huwa anapumzishwa tuu.

Ukiangalia 90% ya wanaume wanaolia lia kuumizwa na mapenzi ni wale kaka zangu mimi pangu pakavu tia mchuzi.

Ukiwa na pesa ni rahisi hata kumpata mwanamke wa ndoto zako.

Pesa haijawahi kushindwa..
Mmh pesa haijawahi kushindwa [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Sasa huyo wapopo watakua wameolewewa tu,atakua anakula mishedede kila upande,mzee yuko busy na biashara
 
Yaani hizo hela unahimiza watoto wa kiume wazitafute ili waje wawanunue Kama midoli ya kupigia puli


Jambo la kutafuta hela ni la jinsia zote halina mjadala.

Mkuu umeongea kwa ukali sana heheheheheh...

Hapo hata Sikio la kufa lazima lisikie dawa.
 
Kuwa na pesa inaweza ikawa ni kigezo cha kuwa na wanawake wengi au yeyote lakini isiwe kigezo cha wewe kupendwa kwa dhati (kutoka moyoni) na hao wanawake.
Hapo ndio tunapokuja kubali kuwa "Pesa ina uwezo wa kununua chakula, ila haina uwezo wa kununua hamu ya kula"

Wengi wamelizwa kwa kuamini kuwa kumiliki pesa ndio kupata mpenzi wa kweli (anae kupenda kutoka moyoni) na matokeo yao wakaambulia maumivu tu.
Nyie mapenzi yaacheni tu, hayanaga formula.

Utaweza kununua penzi lake (ngono) ila hautaweza kununua upendo wake wa dhati kutoka moyoni.
Sana sana atachota pesa kwako atampelekea aliempenda.

Mabilionea duniani wasingeachana, ukiwafatilia utakuta kiuhalisia wanateseka tu kwenye mahusiano au ndoa zao na mpunga wanao.
Ko unamaanisha maskini ndo wana mapenz ya dhati...shtuka ww utaibiwa...tafta hela , mengine yatabalance...hata maskini nao wahuni tu,...Kwan ni matoz wangap maskini kitaa wanatutombea dada zetu na hawawapend...ss wenyewe ni watombaj wazur tu ni masking pia ..focus kweny hela
 
Back
Top Bottom