Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

Kweli, kuna boss hapa anataka watu wenye diploma, ataki wenye bachelor
 
Kweli, kuna boss hapa anataka watu wenye diploma, ataki wenye bachelor
Ni Mara mia amuendeleze huyo mwenye diploma apate digrii kuliko kukuajili wewe mwenye digrii tayali hutamueshimu mnakuaga wajuaji sana na WATU HAWAPENDI ZARAU
 
Ni Mara mia amuendeleze huyo mwenye diploma apate digrii kuliko kukuajili wewe mwenye digrii tayali hutamueshimu mnakuaga wajuaji sana na WATU HAWAPENDI ZARAU
kweli namimi naona, nataka nihame kitengo tu hapa
 
Uko sahihi mkuu nimeona hili kwenye kampuni kubwa sana ya kimataifa hapa TZ, nadhani wanahofia ujuaji wa hao watu au kupinduliwa πŸ˜€
 
Uko sahihi mkuu nimeona hili kwenye kampuni kubwa sana ya kimataifa hapa TZ, nadhani wanahofia ujuaji wa hao watu au kupinduliwa πŸ˜€
Yeah hata kwenye mapenzi formula ni hiyo...watu hawaendi wajuaji ndiyo maana wanatembea na ma........
 
Mkuu ndege JOHN mimi nimeshika point namba 6 hiyo homeboy kazini kuna majungu sana ila time sikuzote inaamua nani ni bora na nani miyeyusho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…