Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasalimie Zimbabwe
Ni Mara mia amuendeleze huyo mwenye diploma apate digrii kuliko kukuajili wewe mwenye digrii tayali hutamueshimu mnakuaga wajuaji sana na WATU HAWAPENDI ZARAUKweli, kuna boss hapa anataka watu wenye diploma, ataki wenye bachelor
Koote ndo mfumo wa kukasimisha mamlaka😀😀😀
Labda kwenye Siasa Sawa
kweli namimi naona, nataka nihame kitengo tu hapaNi Mara mia amuendeleze huyo mwenye diploma apate digrii kuliko kukuajili wewe mwenye digrii tayali hutamueshimu mnakuaga wajuaji sana na WATU HAWAPENDI ZARAU
Incompetence 😛Incompitence??? Ndio nini?
Acha uongo we si unauza mitumba singidaMkuu Mimi nishaajiriwa na Sasa connection nazipata kwenye kazi...Nina sampuli nzuri ya CV
Imekaa vzr sana
Yeah hata kwenye mapenzi formula ni hiyo...watu hawaendi wajuaji ndiyo maana wanatembea na ma........Uko sahihi mkuu nimeona hili kwenye kampuni kubwa sana ya kimataifa hapa TZ, nadhani wanahofia ujuaji wa hao watu au kupinduliwa 😀
Mkuu ndege JOHN mimi nimeshika point namba 6 hiyo homeboy kazini kuna majungu sana ila time sikuzote inaamua nani ni bora na nani miyeyusho.Karibu Sana mkuu
Nakushauri kutokana na uzoefu Wangu
1.punguza matumizi ya ovyo ya pesa mwaka wa kwanza Mimi nimetumia vby tunaita kutoa ushamba just imagine ndani ya mwaka nimekamata zaidi ya million kumi nje ya mshahara hizo allowance TU ila Bado Sina kiwanja...
2.penda kazi fanya kazi kwa bidii waandikapo madokezo viongozi wako wa msafara watakupenda wakuchukue site kila Mara...
3.epuka kuwasema vibaya maboss zako..
4.kunywa pombe kiasi.
5.zingatia vifaa vya kazi vitunze Sana ndo pesa unapopatia..
6.majungu,kusemwa,kudharahauila hakukwepeki...Time itaamua...
7.penda wanawake...
Nitaendelea kukupa dondoo nyingine...umepata shavu kwenye shirika,wizara au Halmashauri??
Kama kweliMkuu ndege JOHN mimi nimeshika point namba 6 hiyo homeboy kazini kuna majungu sana ila time sikuzote inaamua nani ni bora na nani miyeyusho.