Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

Kweli, kuna boss hapa anataka watu wenye diploma, ataki wenye bachelor
 
Kweli, kuna boss hapa anataka watu wenye diploma, ataki wenye bachelor
Ni Mara mia amuendeleze huyo mwenye diploma apate digrii kuliko kukuajili wewe mwenye digrii tayali hutamueshimu mnakuaga wajuaji sana na WATU HAWAPENDI ZARAU
 
Ni Mara mia amuendeleze huyo mwenye diploma apate digrii kuliko kukuajili wewe mwenye digrii tayali hutamueshimu mnakuaga wajuaji sana na WATU HAWAPENDI ZARAU
kweli namimi naona, nataka nihame kitengo tu hapa
 
Uko sahihi mkuu nimeona hili kwenye kampuni kubwa sana ya kimataifa hapa TZ, nadhani wanahofia ujuaji wa hao watu au kupinduliwa 😀
 
Uko sahihi mkuu nimeona hili kwenye kampuni kubwa sana ya kimataifa hapa TZ, nadhani wanahofia ujuaji wa hao watu au kupinduliwa 😀
Yeah hata kwenye mapenzi formula ni hiyo...watu hawaendi wajuaji ndiyo maana wanatembea na ma........
 
Karibu Sana mkuu

Nakushauri kutokana na uzoefu Wangu

1.punguza matumizi ya ovyo ya pesa mwaka wa kwanza Mimi nimetumia vby tunaita kutoa ushamba just imagine ndani ya mwaka nimekamata zaidi ya million kumi nje ya mshahara hizo allowance TU ila Bado Sina kiwanja...

2.penda kazi fanya kazi kwa bidii waandikapo madokezo viongozi wako wa msafara watakupenda wakuchukue site kila Mara...

3.epuka kuwasema vibaya maboss zako..

4.kunywa pombe kiasi.

5.zingatia vifaa vya kazi vitunze Sana ndo pesa unapopatia..

6.majungu,kusemwa,kudharahauila hakukwepeki...Time itaamua...

7.penda wanawake...

Nitaendelea kukupa dondoo nyingine...umepata shavu kwenye shirika,wizara au Halmashauri??
Mkuu ndege JOHN mimi nimeshika point namba 6 hiyo homeboy kazini kuna majungu sana ila time sikuzote inaamua nani ni bora na nani miyeyusho.
 
Back
Top Bottom