Vijana tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI upo na bado ni hatari

Nenda kapime mkuu. Virusi vinaweza kukaa mwilini hata miaka 5 bila kuonyesha dalili maana unakuta bado mwili unapambana navyo ila kinga ya mwili ikizidiwa ndio utaanza kuona matokeo yake live. Kapime uwe na uhakika.

Kikubwa ni kuongeza umakini pia. Hakikisha kabla hujamla mtu kavu angalau umpime lakini pia usikamie shoo, tombana kutajiri.
 
Kutoboa miaka mitano ukiwa na UKIMWI sio kizembe kama unavyodhani mkuu, sio rahisi kabisa labda sio VVUπŸ˜….

Sitaki kabisa kwenda kupima, na miezi 11 ni mingi sana kutoboa bila kuugua ikiwa tayari una maambukizi, kwa namna ambayo huwa nafanya mapenzi sidhani kama mke wangu angetoboa kama ningekuwa na UKIMWI huu ni mwezi wa kumi tangu bumper mimba na kajifungua tu hivi juzi.

Na assume sina UKIMWI. Over
 
Yaani wewe kama Mimi huwa najipa miezi,nikiona Niko poa najua niko sawa
Simple tu, ukiona unaugua kila mara ndio unachukua hatua za kwenda kupima.

Kuna jamaa huko Anadai eti ukiwa na UKIMWI unaeza toboa hata miaka mitano bila kuhisi chochote, aiseeh ni ngumu sana.

Ila ngoma ukiipata kama ni ngumu sana basi ni miezi sita tu unaanza kuwa hoi,kuna fundi mmoja hivi alitembea na mwanamke mwenye UKIMWI alifariki mwaka huohuo kutokana na kuchelewa kuanza dozi.
 

Kama sio FUTUHI, wewe ni jinga sana yaani… hapo tayari mdudu keshaingia kwenye embe.
 
Upo sahihi!! huwezi toboa miaka 5 bila dalili yoyote hakuna! tusidanganyane kwa afya gani au chakula gani tunachokula kama ni hizi hizi wali nyama, chips mayai ngumu kutoboa e.tc Ndani ya Miezi 3 ukiona ume sheki alafu huelewi matatizo yanakuja mlundikano jua kuna walakini!
 
Hahahahah kikiingia tu ni mapema sana utapata majibu kama skin rash na vimafua vya hapa na pale. Wala huna haja ya kusubiria miezi yote hio mzee baba na uchovu wa kushato.
 
Pole,acha zinaa na endelea kumtumainia Mungu ili akulinde,kwani shetani halali,ataendelea kukuingiza majaribuni na ukizubaa utajikuta umeingia mkenge mwingine,na huo unaweza kuwa ni mbaya zaidi kwako kuliko huo wa kwanza...
 
Hahahahah kikiingia tu ni mapema sana utapata majibu kama skin rash na vimafua vya hapa na pale. Wala huna haja ya kusubiria miezi yote hio mzee baba na uchovu wa kushato.
alafu sio vimafua..ni mafua yale ya kuleta homa kabisa!! sio haya mafua ya aleji yanayoletwa na feni au AC!!
 
Hahahahahah inapendeza hii! Vijana mcongo unawamaliza! Kula maku kistaarabu
 
Kama sio FUTUHI, wewe ni jinga sana yaani… hapo tayari mdudu keshaingia kwenye embe.
Sio kizembe hivyo....sikufanya nae kavu nilitumia ndomu, ila nilivyokuja kuona anatoka na jamaa mwenye ngoma niliogopa sana kwakuhisi labda naweza kuwa nimeupata kupitia hata kissing ila baaada ya kutoboa mwaka mmoja bila hata kaugonjwa sioni huo uwezekano wakua ninaoπŸ˜….

NB; Tuambiane ukweli hapa, ukiukwaa UKIMWI leo hii kutoboa mwaka mmoja bila kuugua ni kiazi sana, na kwanza haiwezekani kabisa.
 
Hahahahah kikiingia tu ni mapema sana utapata majibu kama skin rash na vimafua vya hapa na pale. Wala huna haja ya kusubiria miezi yote hio mzee baba na uchovu wa kushato.


According to Wazungu all viruses wakiingia mwilini mwako unakuwa na dalili Kali za Mafuta na homa...

Kama Corona..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…