Vijana tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI upo na bado ni hatari

mods mnamuona huyu
 

Ya covid mnaipiga vita, na ndiyo hao hao wameitengeza.
 
Mtu aliathirika 2006 ila mpaka leo yupo na anadunda tu wakati magonjwa yanayotokana na machips mayai na mafuta mafuta makuku ya kisasa makisukari na presha yanaondoa watu ndani ya 10 years ila mwenye UKIMWI anaonekana kama anakufa kesho.
 
Mtu aliathirika 2006 ila mpaka leo yupo na anadunda tu wakati magonjwa yanayotokana na machips mayai na mafuta mafuta makuku ya kisasa makisukari na presha yanaondoa watu ndani ya 10 years ila mwenye UKIMWI anaonekana kama anakufa kesho.
Lakini ni hatari sana mkuu
 
Fuatilia Kuna watu wanagundua kuwa wana virusi baada ya 20 yrs na wapo tu. Mtu ana 50 years na inaonekana aliishi navyo kwa 20 yrs bila habari, Hivi virusi nadhani ni dhaifu sana kama huna hofu na unaaccess ya chakula bora ila tunavimarket sababu ni biashara nzuri huko kwa wale walioendelea.
 
Kutom.bana kitajiri ndo kwa namna gani mkuu
 
Sure mkuu
 
kuna slayqueen nilimpanga aje getto leo baada ya kufungua huu uzi nimeblock[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Lakini ni hatari sana mkuu
Hatari gani endapo unaweza ishi navyo miaka mingi? Ukipata ukiwa 30 years mpaka vibadilike kuwa UKIMWI na kukusumbua unakaribia 70 years na hapa ni kwa mtu wa kawaida anayepata mlo kamili, Kama ww ni tajiri ndo kabisaaa 80 years huko ndo utaanza sumbuliwa na magonjwa labda, ambapo hata asiye na UKIMWI at that age anasumbuliwa tu, Ila ukiishi kwa hofu ndipo unaanza kukongoroka na kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…