Vijana tukumbushane, tusisahau kupima, Kaswende, Kisonono viko nje nje

Vijana tukumbushane, tusisahau kupima, Kaswende, Kisonono viko nje nje

nafeel proud sana, maana nimeokoa pesa ambazo zingeteketea kwenye kuunga vikojoleo mubashara
nafeel proud maana situmii Bioline Kit yoyote kukojoa
nafeel proud maana naweza nyuka bao zozote, bila hofu ya michubuko, Gono wala UTI

Je una kipimo cha homa za ini ?

Hepatitis B

Hepatitis c

Pia je ina kipimo cha HPV
 
Mimi kanuni yangu ni moja, lazima tupime, haijalishi nitatumia condom ama lah lakini lazima tupime.

Jana nimechukua mtoto mzuri innocent kabisa, sio malaya(inawezekana ni malaya underground ) nikampima majibu ndio haya ana kaswende. Hakuamini macho yake.

View attachment 2732945
Kama kungekuwa kuna kupewa Tuzo ya kupata Gono na Kaswende nadhani binafsi ningeichukua na kuendelea kuichukua kila Mwaka / Msimu.
 
Mimi kanuni yangu ni moja, lazima tupime, haijalishi nitatumia condom ama lah lakini lazima tupime.

Jana nimechukua mtoto mzuri innocent kabisa, sio malaya(inawezekana ni malaya underground ) nikampima majibu ndio haya ana kaswende. Hakuamini macho yake.

View attachment 2732945
sasa mbn hakuna haja ya kupima maana unapima kaswende kumbe mtu ana ngoma au unapima ngoma kumbe mwenzio ana kisonono.

utakuwa na vipimo vingapi sasa? ukiwa na vipimo vyote ivo geto linageuka kuwa famasi na wew ndo nesi sijui ndo dokta mwenyew😆
 
Sorryyy....
1. Hivi vipimo vipo mpaka vya STDs?
2. Na kila STD na kipimo chake au vipo vya umoja?

#YNWA
Kipimo cha kijinga sana hiko bora utumie separate kipimo kwa kila ugonjwa. Sio cha kukiamini hiko kidude.

NB: Kama kupima watu waende hospital kujipima kama sio mtaalam unaweza kujipa stress na depression.
 
Kupima ni lazima aisee haijalishi ni mtuwako wasikuzote,watu wengi hawajatulia unaweza wew kujituliza kumbe mwenzio anapuyang tu huko

Magonjwa ya ngono yanayoua watu wengi. Sio hayo watu wanayoyapima pima

Homa za ini B na C na kansa ya damu, na kansa ya kizazi ndizo zinaua sana watu hapa Tanzania.. zote hizo zinaambukizwa kwa ngono.

Ili watu hawaziongelei.. wanakomaa kupima HIV na hizo gono na kaswende tu
 
ntasema kwa saabu izo kaswende, gono hata hiv kwa kiasi fulani unaeza kuziepuka tofauti na ugonjwa kama kansa uo kuepuka ni ngumu
 
Back
Top Bottom