Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hii haina discussions. Ku abstain ni kuwa salama salmin..
Kinga ya uhakika ni moja tu, kuacha uzinzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii haina discussions. Ku abstain ni kuwa salama salmin..
Kinga ya uhakika ni moja tu, kuacha uzinzi.
Wasisitize Mkuu kujipima mwenyewe kamwe siwezi mshauri mtu ambae sio mtaalam afanye hivyo unaweza pata false results kama una roho nyepesi ukajiua kumbe upo poa tu. Waende hospital.Vijana msiingilie taaluma za watu
Nilikuwa sijaona vizuri.ni duo icho, angekua na ngoma kingetoa mistari mitatu, Whitedent Toothpaste Triple Action
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Shida yangu ni harufu ya ki samaki, hata uwe hauna kaswende, kisonono etc. Ukiwa na kisamaki tu unapoteza qualification za kuendelea na michuano
Hapo ndio utaona umuhimu wa kuoa mwanamke mbumbumbu.Wiki kama mbili nyuma mwanangu mmoja ambaye ni rafiki wa kitambo sana namjua tabia zake na yeye anajua zangu kwenye kuongea akaingiza stori za madem nikamshauri hawa chura wa mjini piga na kinga tukaongea mengi sana juzi kushinda jana kanifuata tena kwa aibu ananionyesha kashaukwaa ana kaswende na imemla vibaya anamalengelenge makubwa kama matatu ikabidi nicheke kwanza maana kapagawa na kabla hajajua alichovya kwa mkewe kwahyo kuna uwezekano kamuambukiza. Sikutaka kumlaumu kwa alivyochanganyikiwa nikampeleka kwa mshkaji wangu ambaye ni doc akampa dawa na maelekezo sasa kimbembe kinakuja kwa wife wake atakwepaje kutofanya mapenzi kwa muda wa wiki mbili mpka tatu na anaanzaje kumtibu mkewe kama amemuambukiza. Tuwe makini jamani mwenye ugonjwa hajulikani lakini linapokukuta na kama unamke inakua balaa zaididoctor anakuambia hayo malengelenge yatapasuka patakua kidonda na hakiponi mpka zipite wiki mbili na muda mwingine kama unamwili usiopona haraka inaenda mpka wiki tatu na bado litabaki kovu jeupe kwa muda mpka liishe ni zaidi ya mwezi na wiki kadhaa sasa nadhani mnaona changamoto anayokwenda kupitia. Nimeshauriana nae anatabia ya kumpeleka wife wake akakae na mama yake akaona ni idea nzuri mpka apone ila kama kamuambukiza mke sijui huo msala anausolve vipi. Tunapopata bahati ya kukumbushana mambo kama haya tuyazingatie sana hakuna mjuaji kwenye ngono na magonjwa yake
ze ki-wolper, noma sanaki samaki
Dah ni kweli ila hata huyo mbumbumbu kuna magonjwa lazima ashtuke imagine hajatoka nje ya ndoa alafu ajikute na ugonjwa kama huo lazima atahisi mume kauleta hatakama hatosema ila ndio mwanzo wa mapenzi kupungua hakuna anependa magonjwa hasa ya ngono yanafanya mtu anawaza kweli alishindwa kutumia kinga sasa kama kaswende imempata ukimwi utamkosa kweli. Na mtu akishafikiria hivyo dah kumrudisha akili akuelewe inakua ngumu sanaHapo ndio utaona umuhimu wa kuoa mwanamke mbumbumbu.
Kirahisi tu unaongea na dk halafu unamuambia wife twende tukapate Kinga ya erythrocite.
Sasa Hawa wenye form six za PCB sijui unamuambia mkapate Kinga ya kitu gani.
Na mbaya zaidi dozi za antibiotic ni siku 14 sasa kinga ya siku 14 sio mchezo sjui utadanganyaje maana hata ukidanganya na kovu utalifichaje mwanamke anajua mumewe umbile lake lipoje leo anakuta kuna vidonda dah lazima awaze na akiomba ushauri lazima wamfungue macho kwamba kunaugonjwa na balaa litaanzia hapoHapo ndio utaona umuhimu wa kuoa mwanamke mbumbumbu.
Kirahisi tu unaongea na dk halafu unamuambia wife twende tukapate Kinga ya erythrocite.
Sasa Hawa wenye form six za PCB sijui unamuambia mkapate Kinga ya kitu gani.
🤣🤣mkuu sio rahisi kihiivyo km unavosema hapa. aya magonjwa ya zinaa unaweza kukuta unadungwa masindano kadhaa ya mataco hlf yanauma si mchezo hata km uyo mtu ni mbumbumbu lazma atashtuka tu.Hapo ndio utaona umuhimu wa kuoa mwanamke mbumbumbu.
Kirahisi tu unaongea na dk halafu unamuambia wife twende tukapate Kinga ya erythrocite.
Sasa Hawa wenye form six za PCB sijui unamuambia mkapate Kinga ya kitu gani.
[emoji1787][emoji1787]Tuendelee kujifukiza
Mkuu kwa hali ilivyo unaweza kua wewe ni nabii sema tunakupuuza tu[emoji848][emoji848]Nyetoni Milele Daima
Uache uzinzi then?.
Kinga ya uhakika ni moja tu, kuacha uzinzi.
Ndio gonjwa gani hili tena
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 nabii anaekaa Mbande Kisewe siyo ?Mkuu kwa hali ilivyo unaweza kua wewe ni nabii sema tunakupuuza tu[emoji848][emoji848]
Asante Kwa swali zuri nikiwa kama mdau wa afya MWANDAMIZI senior.............Sorryyy....
1. Hivi vipimo vipo mpaka vya STDs?
2. Na kila STD na kipimo chake au vipo vya umoja?
#YNWA
[emoji1787][emoji1787] mwezi wa pili huu natekeleza ilani yako pesa ya kuhongea nakula vizuri naona kila mdada anasema nme ng'aa usoni kma Black America , alafu ata sina mda nao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] nabii anaekaa Mbande Kisewe siyo ?
🤣 🤣 🤣[emoji1787][emoji1787] mwezi wa pili huu natekeleza ilani yako pesa ya kuhongea nakula vizuri naona kila mdada anasema nme ng'aa usoni kma Black America , alafu ata sina mda nao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe unaweza?.
Kinga ya uhakika ni moja tu, kuacha uzinzi.
Auonee aibu mkono?hujisikii aibu ukishimaliza kupiga puli?