All for love
Member
- Mar 21, 2023
- 99
- 278
ndivyo maisha yalivyo, kuna watu ni waaminifu sana ila wanayokutana nayo kwenye mapenzi yanawavuruga jumla, magonjwa ya zinaa hayanaga huruma hata kidogo. Ni mbaya sana kupima kwa machoKuuvuka ujana ukiwa salama ni kumshukuru Mungu kuna sehemu tumepita na tumetoka salama mpaka huamini. Na kuna watu wapo very decent ila mistake moja inapita nao.
#KinganiMuhimu
utakuwa mnapima daily 😒😒Kupima ni lazima aisee haijalishi ni mtuwako wasikuzote,watu wengi hawajatulia unaweza wew kujituliza kumbe mwenzio anapuyang tu huko
Mara Kwa marautakuwa mnapima daily 😒😒
huenda siku ambayo hampini ndio anaenda chana mkekaa.. haya mambo Mungu atunusuru.. unaweza pima daily ila waaapi...Mara Kwa mara
Asante kwa kutukumbusha!!
Usimwamini kwa kumuangalia tu!
Hivyo vipimo ni kimoja, kinaitwa dual, vinapatikana kwenye maduka ya madawa shilingi elfu 3 ama 5.Sorryyy....
1. Hivi vipimo vipo mpaka vya STDs?
2. Na kila STD na kipimo chake au vipo vya umoja?
#YNWA
Kawaida mkuu. Ni vitu vya kawaida sana.Hongera Mkuu S23 Ultra si Mchezo.
Nimeshajibu mkuuHata Mimi nasubiri hili jibu toka kwa mleta mada
Mkuu kioimo ukiweka damu mara moja kinaangalia ukimwi na kaswende.Mkuu tunahitaji ufafanuzi kuhusu hicho kipimo unatumia damu magonjwa yote hayo au?...au gono na kaswende unakaingiza kwenye k?
Vipi vyote.Sorryyy....
1. Hivi vipimo vipo mpaka vya STDs?
2. Na kila STD na kipimo chake au vipo vya umoja?
#YNWA
Hicho kipimo kinapima ngoma na kaswende vyote kwa pamoja.sasa mbn hakuna haja ya kupima maana unapima kaswende kumbe mtu ana ngoma au unapima ngoma kumbe mwenzio ana kisonono.
utakuwa na vipimo vingapi sasa? ukiwa na vipimo vyote ivo geto linageuka kuwa famasi na wew ndo nesi sijui ndo dokta mwenyew😆
Hasa wanawakeMsaidie kumtibia.
Wengine ni wagonjwa ila hawajitambui.
Kansa ya damu inaambukizwa kwa ngono?Magonjwa ya ngono yanayoua watu wengi. Sio hayo watu wanayoyapima pima
Homa za ini B na C na kansa ya damu, na kansa ya kizazi ndizo zinaua sana watu hapa Tanzania.. zote hizo zinaambukizwa kwa ngono.
Ili watu hawaziongelei.. wanakomaa kupima HIV na hizo gono na kaswende tu
Hatari.Na ukimwi ulimpima?Mimi kanuni yangu ni moja, lazima tupime, haijalishi nitatumia condom ama lah lakini lazima tupime.
Jana nimechukua mtoto mzuri innocent kabisa, sio malaya(inawezekana ni malaya underground ) nikampima majibu ndio haya ana kaswende. Hakuamini macho yake.
View attachment 2732945
ni duo icho, angekua na ngoma kingetoa mistari mitatu, Whitedent Toothpaste Triple ActionHatari.Na ukimwi ulimpima?