Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana,
kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu.
Nashauri vijana mama au baba atatoa mtoto wa aina gani, beauty and handsomeness matter a lot.
Unajuaje kuwa wewe ni handsome?Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu.
Nashauri vijana kuzingatia mama au baba atatoa mtoto wa aina gani, beauty and handsomeness matter a lot.
Watakao pinga ni wale wenye sura personal
We n mpuuzi. Nakutukana kwasababu unashindwa kuheshimu wengne Kwa jinsi walivoumbwa na mwenyezi MUNGU. Kwann unajikuta wa kipekee hvo wakati ni swala la bahati tu, umebahatika kuletwa duniani kwa muonekano huo na wengne kivingine , kwann ujinadi hvo 🤔 . Kwani unavosema watu wazingatie sijui baba au mama et handsome matter the most🤔 kwani njia Gani unatumia kuzaa au kuzaliwa handsome🤔 je ww ni muumbaYani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu.
Nashauri vijana kuzingatia mama au baba atatoa mtoto wa aina gani, beauty and handsomeness matter a lot.
Watakao pinga ni wale wenye sura personal
Soon utajisifia una tako laini.Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.