Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

Mkuu una umri gani so far?

Nilivyokua mdogo walikua wanatuita enchamu...
Ila kadri umri unaenda na maisha kupigika hayo mambo unasahau kabsa na sura inakua serious na kutake uhalisia wa mwanaume.

Sasa kama una majukumu halafu bado unawaza sura, yani ndio inakupa kula either ni MARIOOO au NCHICHA MWIBA hauchomi wala hauumi wenyewe ni mboga tamu inaongeza damu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli uhandsome ni jambo zuri lakini hauna maana yoyote katika maisha halisi.

Utaishia kuliwa matako tu na kutumika kingono.

Unakuwa chombo cha watu wengine zaidi, which means watu watakufaidi kuliko utakavyojifaidi.

Tofauti na hilo, uhandsome una maana gani nyingine hasa?
Wizoooo, mbonaa km una kitu, hebu sema tena.
 
Uhandsome ni kitu halisi japo watu wanarusha mitusi unachoharibu jamaa ni kujinadi hata kama ni handsome unakausha Kana kwamba hujijui ulivyo jiweke level moja na sisi wenye misura migumu
Kwani lazima? Acha mtu aringe na alichojaliwaa.
 
Nilipokuwa mdogo watu walikuwa wananiita handsome wananibeba na kunishangaliaa!

Nilipokuwa shule nikawa naona wavulana mabasha kama wananifuata fuata hivi, wengine wanataka niwatifue vinyeo. Niliwabamiza kweli kweli.

Lakini baadaye nikaanza kuwa SURA MBAYA, komwe likachomoza.

Cc: mshamba_mwingine dronedrake Poor Brain
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Serikali iongeze mkazo na iwekeze kwenye kumlinda mtoto wa kiume maana idadi ya watoto wa kiume wano LEFT GROUP linaongezeka kwa kasi sana
 
Serikali iongeze mkazo na iwekeze kwenye kumlinda mtoto wa kiume maana idadi ya watoto wa kiume wano LEFT GROUP linaongezeka kwa kasi sana
Kumekuchaaaa!!! Na watumiaji wa hao wanao left group wako wengi,
No supplies without demands.
 
Huwezi kuta shoga ana sura ya kazi sasa kama wewe ni handsome na unapenda offer kakae Zanzibar au Mombasa utakula Bata sana na kama una msambwanda wewe ni wa bei kubwa
 
Back
Top Bottom