Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.

Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu.

Nashauri vijana kuzingatia mama au baba atatoa mtoto wa aina gani, beauty and handsomeness matter a lot.

Watakao pinga ni wale wenye sura personal
Huu ndio mwanzo wa uchoko
 
Ni hatari sana kusikia eti mwanaume anajisifia yeye ni handsome.
Hayo mambo ni ya kina dada mwanume unaweza angalau ukajisifu kwamba wewe ni smart inaweza kukubalika mambi ya uhandsome waachie wadada
 
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.

Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu.

Nashauri vijana kuzingatia mama au baba atatoa mtoto wa aina gani, beauty and handsomeness matter a lot.

Watakao pinga ni wale wenye sura personal
mbona husemi kuna na ss mabasha nyie ndo tunawala sana 0713
na mnaongoza kwa kupakuliwa
 
Back
Top Bottom