Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

Eeeh,,aya wadada chini ya 30 yrs handsome uyu apa mjishindie
Hao wadada watawafuja tu....

Waacheni mahendisamu waje kwetu mishangazi tuwalee, tuwape magari yetu watesee mujini 😎
 
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.

Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu.

Nashauri vijana kuzingatia mama au baba atatoa mtoto wa aina gani, beauty and handsomeness matter a lot.

Watakao pinga ni wale wenye sura personal
Ila kwenye upinde, ndo shida ilipo, wagumu hawawezi kuhisiwa
 
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.

Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu.

Nashauri vijana kuzingatia mama au baba atatoa mtoto wa aina gani, beauty and handsomeness matter a lot.

Watakao pinga ni wale wenye sura personal
Tuseme Astaghafilullah × 1000.
 
Dah! Ndugu yangu acha hiyo tabia itakupeleka pabaya!

Tangia nizaliwe sijawahi sikia maneno haya yanatoka kwenye kinywa Cha mwanaume isipokuwa mwanaume shoga.

Unapata wapi mda wakujijua kama wewe ni handsome? Kama sio kwenye vikao vya wanawake!

Sidhani kama mwanaume mwenzio anaweza akakusifia wewe u handsome.

Pole kiongozi ila unadharirisha wanaume nafikir hujachelewa tafadhali acha
 
Mwanaume unajisifia ujinga, ndio shida ya vitoto vilaiini hata kazi havihimili.

Hakuna mwanamke anayependa mwanaume laini hata screw hawezi kufunga!! shame upon you.

Poor Brain dronedrake msaidieni huyu transgender
😅😅😂Kwamba taa mpaka amuite fundi umeme, kuweka luku ananunua ngazi
 
Back
Top Bottom