Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

Sema kwa namna ulivyo andika hivyo unaonekana ni mtu ambaye:-

1. Unapenda kulamba lipsi. ( ushoga ndo huazia hapa)

2. Maneno ya vijiweni kwa sana( mipango isiyo na vichwa wala miguu)
 
hakuna biashara isiyokosa mteja "kwa wale wanawake wapenda wanaume walio na sura ngumu sana nipo hapa tafadhal.....nb Mugabe haoni ndani
 
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.

Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu.

Nashauri vijana kuzingatia mama au baba atatoa mtoto wa aina gani, beauty and handsomeness matter a lot.

Watakao pinga ni wale wenye sura personal
One man down!!
 
Hata yule jamaa wa gym kule South ni handsome ila ana traco balaa
 
Back
Top Bottom