Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

Kweli uhandsome ni jambo zuri lakini hauna maana yoyote katika maisha halisi.

Utaishia kuliwa matako tu na kutumika kingono.

Unakuwa chombo cha watu wengine zaidi, which means watu watakufaidi kuliko utakavyojifaidi.

Tofauti na hilo, uhandsome una maana gani nyingine hasa?
 
Uhandsome ni kitu halisi japo watu wanarusha mitusi unachoharibu jamaa ni kujinadi hata kama ni handsome unakausha Kana kwamba hujijui ulivyo jiweke level moja na sisi wenye misura migumu
Nilipokuwa mdogo watu walikuwa wananiita handsome wananibeba na kunishangaliaa!

Nilipokuwa shule nikawa naona wavulana mabasha kama wananifuata fuata hivi, wengine wanataka niwatifue vinyeo. Niliwabamiza kweli kweli.

Lakini baadaye nikaanza kuwa SURA MBAYA, komwe likachomoza.

Cc: mshamba_mwingine dronedrake Poor Brain
 
Uhandisam upo hatukatai hata sisi mihogo michungu tunakubali hilo ,ila ungevunga ungekua handsome zaidi
 
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.

Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu.

Nashauri vijana kuzingatia mama au baba atatoa mtoto wa aina gani, beauty and handsomeness matter a lot.

Watakao pinga ni wale wenye sura personal
Mwanaume kujisifia uzuri sio dalili nzuri.

Bila shaka huwezi kukosa tabia hizi;
-Unashinda sana kwenye kioo.
-Una share vipodozi na dada zako
-Unajipaka mafuta makalio.
 
Kuna ka ukwel ndani yake ila kosa ulilofanya ni kupiga dongo upande ule wa kima Remm Ongola
 
Back
Top Bottom