Vijana tunaoelekea uzeeni: Bongo fleva zipi zilikonga moyo wako mwanzoni mwa miaka ya 2000?

Vijana tunaoelekea uzeeni: Bongo fleva zipi zilikonga moyo wako mwanzoni mwa miaka ya 2000?

Wengne mda huo bdo makinda kabxa, tulikua tukitengeneza spika za mbao za utotoni...
Na kucheza wimbo wa "ndomboloo, ndomboloo, yasoroo, ndomboloo'
Ila ckumbuki wimbo ulikuwa wa nan ila tuliupenda
 
IMG_1265.jpeg
 
Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi, wako wapi,... Balozi bado nipo ninatamba kwenye chati, kwenye chati,... Nashika ile ile ile moja nambaaa natambaa,........ Song by Balozi dullasol-wengi walikuwepo
 
Back
Top Bottom