King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
BDP - Rudi Mpenzi
Mabaga - Mtulize
HBC-Chemsha Bongo
Wateule-Hiphop na Ragga
Mabaga - Mtulize
HBC-Chemsha Bongo
Wateule-Hiphop na Ragga
nipe tano, yanani kwel ile nyimbo.
Inaitwa dhahabu hiyooooooh ooooh kariakooo 2005-2006 wimbo ulisumbua sana- Dully kama Dully
Hatari sanaInaitwa dhahabu hiyo
Visa vya mapenzi ya watu' nyoka mwenye sumu kaliBabe mambow! 😎.
huo wimbo kaimba nani?Nina upwiru mshangaz 😋
Umenijuaje, ngoja nichange hii Avatar 😆😆😆Babe Binti wa zamani nitumie ule wimbo wa Langa unaoitwa tunawakilisha ambapo alizungumzia maswala ya lugha ya kiswanglish.
Mambo ya lugha lugha.
iweje leo unipakazieeeee duly Kama dulyVisa vya mapenzi ya watu' nyoka mwenye sumu kali
Sikufahamu hunifahamu we kaka 😜😎
Babe inaoneka wewe ni mkali wa lyrics na hiki ndicho kile ninachokupendea 😋.Visa vya mapenzi ya watu' nyoka mwenye sumu kali
Sikufahamu hunifahamu we kaka 😜😎
SalomeDuly... Salome juu ya kaburi lako nalia, pia kuna pico kikongwe, pia kuna Mr Paul zuwena, bwana misosi, t-shirt na jeans, tid zeze... Weka na hizo kwanza nipate kukumbuka ujana kidogo😊😊