Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,712
- 4,259
Pipi ya kijiti - Langa
View: https://youtu.be/nhb9Zkv5eUI?si=zYKEOK_kV1eMM0bx
Cc
Nusratt
secretarybird
Mie naupenda sana wimbo wa Sauti ya Manka wa GK.
Unanikumbusha mbali sana aisee
Pipi ya kijiti - Langa
View: https://youtu.be/nhb9Zkv5eUI?si=zYKEOK_kV1eMM0bx
Cc
Nusratt
secretarybird
Nyimbo zipi za kiswahili ulizipenda kati ya mwaka 2000 na 2010. Share tukumbushane kumbukumbu za ujanani.
“Nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi”Fid Q - Ni hayo tu (Ft. Langa & Prof Jay)Released - 2003
View: https://youtu.be/PrMoE0Pxk58?si=Op-OAPSwK2iwu_vS
“Siku zimeenda nami nateta mbona alienda, bado nampenda tutakutana tena, Mungu akipenda”Walietuacha - NoniniReleased - 2004
View: https://youtu.be/S0B7cVvG_2E?si=lKM2ZTijEZj-_MVN
(Si bongo fleva ila ulikua wimbo wa kulilia, miaka ya mwanzoni mwa 2,000 nilipata msiba wa kwanza wa mtu wa karibu na nikawa nausikiliza almost kila siku kwa miaka kadhaa)
"Sina makosa, wataka kuniua bure, sina makosa wee bwanaa"Cool James - Sina MakosaReleased - 2004
View: https://youtu.be/wrQpIdIz6Mw?si=bQImQ1FliBuyrHL6
(Mtoto wa dandu endelea kuRIP mtanashati kutoka kanda ya ziwa, aliyewambikiza watoto wa 90's and 2000's)
“Nimekaa nafikiri, baadaye nikagundua, kwamba hutarudi tena, sitakua nawe tena” Machozi - Lady JaydeeAlbum (Machozi)Released - 2001
View: https://youtu.be/N046uBmyZZQ?si=N4th8V6mf3KjtQ_N
"Nami unanichengua ukinishika kiuno, nywele ukizichezea, ninalala kama pono.Seli wangu we kimwana, nataka tufunge ndoa"Alicom - Selina
View: https://youtu.be/UoywrPDuogA?si=VvStjVDrd7LPhvBG
"Iddi zake michapo na pamba za kuazima, nyumbani ye' huwa hakai anaishi kama kima"Mtoto Iddi - Juma NatureReleased - 2005
View: https://youtu.be/tFpxL4dinYs?si=za3vy0O8bFI-AwQE
"Hatua kwa hatua nandani huo ndo mwendo, kwa mambo yanavyokwenda hakuna cha uzalendo"Machozi, Jasho na Damu - Prof Jay Released - 2001
View: https://youtu.be/Z3VmJUVQbmE?si=fNXzhY_Hav7bTag3
Mimi na wewe tuache makelele, mimi na wewe, milele na mileleStara Thomas - Mimi na weweRelease date: 2005
View: https://youtu.be/ILup09M5ZT0?si=sz-lAtRDkEjdUQET
"Kuna mabinti wapo ikamili mara kila idara, familia bora, maumbo bomba na sura”Mabinti - Mwana FAAlbum - Mwanafalsafani Released - 2002
View: https://youtu.be/2JNlAesJuCA?si=Kgu-beriop9L6752
"Sikiliza nikwelezwe wewe Dataz, mume wa mtu ukimpata jivinjari, hana mpango nawe jivinjari, hatokuoa jivinjari” Dataz - Mume wa mtuReleased - 2003
"Mpenzi usinidhulumu nipe raha za ndani zote, ziishi moyoni mwangu milele hata milele."Na wewe milele - Ray C Released - 2004
View: https://youtu.be/8lvbNsKYLAQ?si=Ar5aAaRaRMeks2IB