Vijana tunaoelekea uzeeni: Bongo fleva zipi zilikonga moyo wako mwanzoni mwa miaka ya 2000?

Vijana tunaoelekea uzeeni: Bongo fleva zipi zilikonga moyo wako mwanzoni mwa miaka ya 2000?

1. Wanock nock- mandojo & domokaya ft. Jide

2. Niaje hatupatani - mandojo & domokaya ft juma nature

3. Peke yangu- adili

4. Silimba-ngoni ft jide

5. Mtazamo - afande sele ft solo thang and profesa jay
Zote 🔥 🔥 🔥 🔥 💯


View: https://youtu.be/Tmk6TWOd-Nw?si=HSQ072lBb8cYjc6B

Wanok nok wazee wa kusingizia,
Madem wa watu washkaji wanawarukia,
Kumbe ni waongo
Wao wenyewe ndio wanaowatokea

Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia
 
Tamala- Hard Mad
Tunapendane - Mwana FA
Ntakufaje- King crazy Gk ft Paulina Zongo
Tutakukumbuka Daima milele- King crazy Gk ft TID
August 13- Fid Q
Pafume- Joslin
Alikufa kwa ngoma - Mwana Fa ft Jay d
Dunia njia - Bushoke
Mapenzi kitu gani - Mb Dogy
Si ulinambia- Mb Dog
Siku nzuri inavyokwenda- Dan Msimamo
Jahazi- Daz Nundaz
Wife- Daz baba ft Ngwair
 
Tamala- Hard Mad
Tunapendane - Mwana FA
Ntakufaje- King crazy Gk ft Paulina Zongo
Tutakukumbuka Daima milele- King crazy Gk ft TID
August 13- Fid Q
Pafume- Joslin
Alikufa kwa ngoma - Mwana Fa ft Jay d
Dunia njia - Bushoke
Mapenzi kitu gani - Mb Dogy
Si ulinambia- Mb Dog
Siku nzuri inavyokwenda- Dan Msimamo
Jahazi- Daz Nundaz
Wife- Daz baba ft Ngwair
Zote 🔥 🔥 🔥

Dunia njia na nyimbo za MB Dogg zilipigwa sana kwenye redio enzi hizo.
 
Back
Top Bottom