Vijana tunaoelekea uzeeni: Bongo fleva zipi zilikonga moyo wako mwanzoni mwa miaka ya 2000?

Vijana tunaoelekea uzeeni: Bongo fleva zipi zilikonga moyo wako mwanzoni mwa miaka ya 2000?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Nyimbo zipi za kiswahili ulizipenda kati ya mwaka 2000 na 2010. Share tukumbushane kumbukumbu za ujanani.
​
“Nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi”​
Fid Q - Ni hayo tu (Ft. Langa & Prof Jay)​
Released - 2003​


View: https://youtu.be/PrMoE0Pxk58?si=Op-OAPSwK2iwu_vS


“Siku zimeenda nami nateta mbona alienda, bado nampenda tutakutana tena, Mungu akipenda”​
Walietuacha - Nonini​
Released - 2004​


View: https://youtu.be/S0B7cVvG_2E?si=lKM2ZTijEZj-_MVN
(Si bongo fleva ila ulikua wimbo wa kulilia, miaka ya mwanzoni mwa 2,000 nilipata msiba wa kwanza wa mtu wa karibu na nikawa nausikiliza almost kila siku kwa miaka kadhaa)


"Sina makosa, wataka kuniua bure, sina makosa wee bwanaa"​
Cool James - Sina Makosa​
Released - 2004​


View: https://youtu.be/wrQpIdIz6Mw?si=bQImQ1FliBuyrHL6
(Mtoto wa dandu endelea kuRIP mtanashati kutoka kanda ya ziwa, aliyewambikiza watoto wa 90's and 2000's)

“Nimekaa nafikiri, baadaye nikagundua, kwamba hutarudi tena, sitakua nawe tena” ​
Machozi - Lady Jaydee​
Album (Machozi)​
Released - 2001​


View: https://youtu.be/N046uBmyZZQ?si=N4th8V6mf3KjtQ_N



"Nami unanichengua ukinishika kiuno, nywele ukizichezea, ninalala kama pono.​
Seli wangu we kimwana, nataka tufunge ndoa"​
Alicom - Selina​

View: https://youtu.be/UoywrPDuogA?si=VvStjVDrd7LPhvBG


"Iddi zake michapo na pamba za kuazima, nyumbani ye' huwa hakai anaishi kama kima"​
Mtoto Iddi - Juma Nature​
Released - 2005​


View: https://youtu.be/tFpxL4dinYs?si=za3vy0O8bFI-AwQE


"Hatua kwa hatua nandani huo ndo mwendo, kwa mambo yanavyokwenda hakuna cha uzalendo"​
Machozi, Jasho na Damu - Prof Jay ​
Released - 2001​


View: https://youtu.be/Z3VmJUVQbmE?si=fNXzhY_Hav7bTag3


Mimi na wewe tuache makelele, mimi na wewe, milele na milele​
Stara Thomas - Mimi na wewe​
Release date: 2005 ​


View: https://youtu.be/ILup09M5ZT0?si=sz-lAtRDkEjdUQET



"Kuna mabinti wapo ikamili mara kila idara, familia bora, maumbo bomba na sura”​
Mabinti - Mwana FA​
Album - Mwanafalsafani ​
Released - 2002​


View: https://youtu.be/2JNlAesJuCA?si=Kgu-beriop9L6752



"Sikiliza nikwelezwe wewe Dataz, mume wa mtu ukimpata jivinjari, hana mpango nawe jivinjari, hatokuoa jivinjari” ​
Dataz - Mume wa mtu​
Released - 2003​

​
​

"Mpenzi usinidhulumu nipe raha za ndani zote, ziishi moyoni mwangu milele hata milele."​
Na wewe milele - Ray C ​
Released - 2004​


View: https://youtu.be/8lvbNsKYLAQ?si=Ar5aAaRaRMeks2IB
 
oooooh ooooh kariakooo 2005-2006 wimbo ulisumbua sana- Dully kama Dully
 
Back
Top Bottom