Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
Dah!Yule bibie alikuwa kipenzi chetu sana enzi zile.Hebu ngoja niwape nauli hawa wahuni wa 2000 waende skuli kwanza.ππππHala babyyyyyyyy
Hivi,huyo Kiroboto ndiyo hakuoa kabisa au alishajitendea wema na kuoa?Sitaki demu- Juma Nature
Haa haaa, labda watakutana na nyimbo watakazozipenda.Walio zaliwa miaka ya 2000 ya mwanzo watajua wasomaji wa comments tuπ
Umenikumbusha mbali sana π wanyamwezi wa enzi hizo!Unanitegaaa mbona kifua kiko wazi by Nura
Kuna yule ndugu Luca(haya majina haya) aliyeimba ..."kuku kakwea basikweli"...alikuwa mbele sana ya muda .Ule wimbo ungewafaa hawa watoto wetu wa "af-bee"!Haa haaa, labda watakutana na nyimbo watakazozipenda.
Nyimbo zipi za kiswahili ulizipenda kati ya mwaka 2000
Walikuwaga vilema, nawakumbuka.Tunataaabika tunasurubikaaaa mabaga fresh tunapigikaaaa- mabaga fresh
Fid Q alikuwa wamoto sana π₯Nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi πΆ
Jumba bovuuuu limeniangukiaaah, sikufanya wamenisingiziaaahJumba bovu - Mack D, Mack Dizzo msela wa Kigamboninoo
Hii sijui kama alitoa video yake. Nimeipata hii akiwa anahojiwa recently
View: https://youtube.com/shorts/WqGIccrrhiU?si=pkQnNmx1kSvbyVu4
Zote π₯ π₯ π₯ π₯Matawi ya Juu - Langa
Mtoto wa geti Kali - Inspector Haroun
Kinanda - Benjamini wa Mambo Jambo
Kamanda na nyingine nyingi sana..