Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #61
Mami SweetyCandy
Zote π₯ π₯ π₯ π₯ π―1. Wanock nock- mandojo & domokaya ft. Jide
2. Niaje hatupatani - mandojo & domokaya ft juma nature
3. Peke yangu- adili
4. Silimba-ngoni ft jide
5. Mtazamo - afande sele ft solo thang and profesa jay
Mhindi, wewe kila siku, kila saa, kila mahali - nyege tu.Nina upwiru mshangaz π
π π π πMtu umpendaye lazima utamjua tu hata akibadili ngozi π.
Lakini hii itakuwa my secret, right?
Kuna jeans za buku wale wenzangu na Mimi,pita pita tandale beli mpaka shilingi 50.na bado ukubwa utaonekana mtoto wa mjini
Babe nimeamka salama japo kwa takribani wiki nzima nimebanwa sana na majukumu.π π π π
Umeamkaje mupenzi?
Hapa tuko vizuri sanaπ π πSalome
View: https://youtu.be/8w4LfQnSXoM?si=8X59TWZv-Qg_EiRY
Nakupenda bibi kizee π
View: https://youtu.be/inNFEZ458oM?si=VN23bBvGMsPTMAJ1
Zuwena
View: https://youtu.be/Pyr-0wYnwy4?si=dtsH0o6kzUEz9SWE
Bwana misosi
View: https://youtu.be/MLeP7IeWC9c?si=VqQoOM5nfYMyZjDp
Zeze
View: https://youtu.be/-tm4sN7VhGE?si=Qp0vEexliP-oNGbm
Naingiza kichwa tuπMhindi, wewe kila siku, kila saa, kila mahali - nyege tu.
Hata chai umekunywa kweli?
Una pepo la ngono πNaingiza kichwa tuπ
Pole mpenzi, kazi ni kipimo cha utu πBabe nimeamka salama japo kwa takribani wiki nzima nimebanwa sana na majukumu.
Ruka, jirushe, acha kusitaSikia tangazo maalumu kutoka kwa dj,aliyepoteza funguo wa gari apa aje.
Jirushe jirushe .feruzi
Mimi wakati nyimbo zake zinatoka nilikua kidogo nimeshakua na namkumbuka kama msanii wa nyimbo za disko toto za wadogo zangu.π₯Mr nice hajatajwa siku zinakimbia sana
Umeninyimaπ‘Una pepo la ngono π
Tuzogoe: Naweka hapo juu juu tu, ni uongo
Uongo upi unausikia mara kwa mara? au umesikia mwanamke au mwanaume anaambiwa au amekuambia. CC: uzuri_hatujuani Castle_Lite secretarybird 50thebe Poor Brain Khanji kapoorwww.jamiiforums.com
Together mpenzi.....,tujenge maisha yetu kwanza.Pole mpenzi, kazi ni kipimo cha utu π
Zote π₯ π₯ π₯Tamala- Hard Mad
Tunapendane - Mwana FA
Ntakufaje- King crazy Gk ft Paulina Zongo
Tutakukumbuka Daima milele- King crazy Gk ft TID
August 13- Fid Q
Pafume- Joslin
Alikufa kwa ngoma - Mwana Fa ft Jay d
Dunia njia - Bushoke
Mapenzi kitu gani - Mb Dogy
Si ulinambia- Mb Dog
Siku nzuri inavyokwenda- Dan Msimamo
Jahazi- Daz Nundaz
Wife- Daz baba ft Ngwair