19 years
Nimejifunza mengi kupitia Jf Bravo kwa wote wanao-share nondo zao humu jamvini.
Mswanu?Jf niliifahamu kipindi nipo form 4, awamu ya pili ya J.K. Nilikuwa msomaji tuuu mpaka nilipomaliza form 6 ndiyo nikajiunga kwa mara ya kwanza.
Siku ya kwanza tu kuweka bandiko humu nilijibiwa "pumba" na mkuu bulldog, nilipanic sana ila baadae nikajifunza namna ya ku-handle matters online.
Nipo ghetto naendelea na harakati za kuboresha kesho yangu, chuo nimeshamaliza tayari ila mambo bado hayajawa "mswanu", tunakomaa kimtaa-mtaa.
Babuuuu umeloga nini ..Hakuna mademu huku we mzee
Hahaha juzi kati daaah ...Juzi kati tu mwaka huu nkiwa safarini nmemaliza mwaka wa kwanza medicine
Mwenzangu Vitoto tupu, mtu hutakiwi hata kuchangia mawazo thread zaohapa nina notebook,nalist majina yenu,,,,,mnatongoza huko PM watu ambao tunaweza kuwa vibibi vyenu..😕
Sarriball asaiv inaelekea kuwa Zarriball..Sarriball [emoji23][emoji23]
Wewe ni dgo zaid yetu.Dah wakuu
Mi ni mwenzenu
Mwenzangu Vitoto tupu, mtu hutakiwi hata kuchangia mawazo thread zao
Ha ha ha ,apo kweny kurudisha mpira kwa kipa imenigusa mkuu,,Niliijua JF kwakua mimi ni mtu wa kusoma soma online nilikua namsoma Dinahcious & co kuna siku nikiwa nasearch online story yenye kutisha ikaja link ya jf. Nilivyoingia na kuzidi kuperuzi nikakuta stori ya jamaa ambaye alitaitiwa na vibaka akiwa na mpenzi wake wakataka kumlawiti mshkaji, jamaa akakimbia akamuacha mke.
Niko mtaani, najitegemea ila soon narudisha mpira kwa kipa.
Kwa wazee ilinibidi tu nitoke sikua na option. Ila sitaelezea kilichotokea.
Bado nasota mtaani.
Sijaoa. Sipo single.
Unakaribishwa mkuu usivue ata kofia wala kiatuJapo ni nje ya mada lakini naomba niwe mlezi wenu.... Kwa nia njema kabisa
Wew zilipendwa mkuu,aya mambo tuachie tunaomilik iyo age tajwa apo juuNiruhusu na mm nichangie aisee, maana nimezidi mwaka mmoja tu...
Wew zilipendwa mkuu,aya mambo tuachie tunaomilik iyo age tajwa apo juuNiruhusu na mm nichangie aisee, maana nimezidi mwaka mmoja tu...
Acha uhuni mdogo wangu,ngoj komenti iwe fupi fupi tuJf niliifahamu kipindi nipo form 4, awamu ya pili ya J.K. Nilikuwa msomaji tuuu mpaka nilipomaliza form 6 ndiyo nikajiunga kwa mara ya kwanza.
Siku ya kwanza tu kuweka bandiko humu nilijibiwa "pumba" na mkuu bulldog, nilipanic sana ila baadae nikajifunza namna ya ku-handle matters online.
Nipo ghetto naendelea na harakati za kuboresha kesho yangu, chuo nimeshamaliza tayari ila mambo bado hayajawa "mswanu", tunakomaa kimtaa-mtaa.
Mwaka gan kulikua na intrview mkuu??Hahahaaaaa!, umenikumbusha mbali sana interview ya kujiunga JF ilikuwa tight sana hasa oral, bora written ilikuwa nafuu kidogo..
Nakumbuka kwenye oral Mello aligonga swali, " Do you think you are a great thinker?" Nikajibu "Yes" akaniuliza, "What is thinking?" Daah , nilitoa macho kama Betlehem wa JF, lakini nashukuru nilipita interview.
Dah... Changamka bana[emoji41]Nimeanza kujitegemea nikiwa 21
Nimeoa nikiwa 23
Elimu 4
Mpaka sasa nina 24 nina mke sina mtoto.
Ulizingua mkuu ungekomaa nae mngeenda njia moja i hope[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yupo humu...Yule mmama alitokea kunielewa sanaa.shida nilikuwa najipaisha sanaaa kumbe holaa....
ya mkini kama ningwambia ukweli ningepata vingi toka kwake..coz alitokea kuniamini sanaaa...na kunishirikisha mambo yake mengi...
na yeye ndiyo aliomba kuonana na Mimi.
shida baada ya kukutana yeye kashuka kwenye gari Mimi nipo na MIGUU. mbaya zaidi umri ulikuwa mdogo ndo nimemaliza 4m 4. .ukicheki yeye muajiriwa na mfanyabiashara
Alibaki kushangaa sanaa na kutoamini kuwa kumbe alikuwa anachat na katoto na kumwambia mambo yake..
alinilaumu snaa Y? nilikuwa na mdanganya...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nikaona huu msalaa maana ndizo zilikuwa swaga zangu enzi hizo kwa mademu wa humu..
na isitoshe alisema ataleta ushuhuda na kuniponda +kunianika jukwaani
nikasema heri lawama kuliko fedhea nika mute kuingia humu...
Naomb nichek kwa saut mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
jf Kila mtu usalama wa Taifa ...
tuonane humu humu kaka
We jamaa naon umeniwakilisha vyema big upTupo hapa,,,
Wengine Mitaa haitaki kutuelewa.
Wengine tupo tupo tu Utadhani tumetoka Jeshi la Wafu.
Wengine tunaota ndoto zilizolowa ya kwamba kabla ya kufikia Miaka Thelathini na tano tutakuwa Mabilionea.
Dunia Tambara bovu,
Mapambano yanaendelea: