roservelt
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,418
- 1,514
Oiii
Nimeijua JF mwaka 2012 nikiwa form five...that time nilikua msomaji tuu.
Nilijiunga rasmi mwaka 2016 nikiwa chuoni. JF...ilibadilisha maisha yangu na mtazamo wangu.
Nilikua nasoma nondo mbalimbali huku...kisha naenda kuanzisha mdahalo na maraia chuoni...nilikua deep balaa na kuwapiga KO...hasa kwenye upande wa siasa, vijana wa chama cha kijani nilikuwa nawakalisha ile mbaya kwenye kujenga hoja na ku zi defend.
Kwa sasa nimemaliza chuo na napambana kitaa ku connect the unconnected future.