Vijana tutafute hela michepuko yafikishana polisi kisa kugombania mume wa mtu

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,939
Reaction score
3,259
Ukisikia ule msemo kua nakupemda wewe na huyo mke wako ndio unatumika hapa sasa

Wasanii gach na yammtzy wamefikishana polisi sababu kubwa kugombania bwana ambae ni mume wa mtu mwiz wa kwanza alikua ni gach mwiz akaibia na yamm mwiz wa kwanza akaemda polis kushtaki vijana tutafute hepa ukiwa na hela mwanaume sio mbwa tena na hutolalamika kuhusu wanawake sijui wanawake pasua kichwa and blaah blah kibao
Maana kwenye vikao vyetu bwana kila mwanaume story yake wanawake hawaaa ndoa hiz mara wanawake hawana akil wanawake kma watoto na malalamiko kibao

Mume wa mtu anaegombaniwa anagawa magar kama pipi na safar za dubai kwake kama kwenda mliman city tu
 
Wanakuchuna hizo hela halafu wanaenda kuwapa bure wanaume wanaowapenda bure tena wanawahonga na hela zako. Fikiria hela zako zinahudumia njemba zingine. Inauma kulea njemba zingine.
 
mkuu unachukua event moja na kuleta conclusion, sio kwamba pesa itakuepushia matatizo bali itakupa aina nyingine ya matatizo...
Mifano ni mingi sanaa ukiwa na hepa utategeshewa had mimba ila ukiwa kapuku ata ule machoz na makamas kwa pamoja watu wataitoa tu mimba yako
Yaani linapokuja suala la kuwa na hela mfukoni mswahili anawaza kufungua zipu na vizibo vya bia tu
Kufungua zipu na vizibo vya bia ndio starehe pendwa dunian watu wanajiua kisa pombe pesa na wanawake na ndio chanzo cha ugomv wowote duniani hata walio jera chanzo ni pombe au wanawake au pesa tu
 
Hapo ni maslah mapenz hakuna wanaume wekezen c kwaajil ya wanawake kwaajil yenu na kujiandaa na uzee wenu
KUna umr ukivuka tu miaka 40 kila unachofanya sio kwa ajili yako hata mkr wako atakuuliza siku ukifa utatuachaje ukinunua kiwanja na kujenga sio kwa ajil yako ni kwa ajil ya watoto na mke hata ukinunua umeme ni kwa ajil ya watoto na mkeo tu kwako sio muhimu kila unachofanya kipaumbele mtoto na mkeo hata kifo chako kipaumbele ni mtoto na mkeo yaan ukitaka kufa unachowaza utawaachaje wanao na mkeo
 
Kufungua zipu na vizibo vya bia ndio starehe pendwa dunian watu wanajiua kisa pombe pesa na wanawake na ndio chanzo cha ugomv wowote duniani hata walio jera chanzo ni pombe au wanawake au pesa tu
Gombania wanawake, ikiwezekana nenda jela au jiue kwa ajiri yao, hakuna aliekukataza
 
KUna umr ukivuka tu miaka 40 kila unachofanya sio kwa ajili yako hata mkr wako atakuuliza siku ukifa utatuachaje ukinunua kiwanja na kujenga sio kwa ajil yako ni kwa ajil ya watoto na mke hata ukinunua umeme ni kwa ajil ya watoto na mkeo tu kwako sio muhimu kila unachofanya kipaumbele mtoto na mkeo hata kifo chako kipaumbele ni mtoto na mkeo yaan ukitaka kufa unachowaza utawaachaje wanao na mkeo
sioi walaaa
 
Maana kwenye vikao vyetu bwana kila mwanaume story yake wanawake hawaaa ndoa hiz mara wanawake hawana akil wanawake kma watoto na malalamiko kibao
Huyo umesema mume wa mtu huyo mtu ndio nani? Acha kufyatuka hicho unachosema ndicho kimefanya akawagonge hao malaya na Toyota Fortuner 2.8 GD-6 4x4 VX (2023)
 
Tutafute hela shilingi ngapi?
Kama ni mshahara wako basi uwe na o zaid ya6 kila mwezi na kama ukitoka msiba msiba usimame usubiriwe weqe kwanza ufike ndio shughul ziendelee na kama ukitambulishwa kwenye ukumb wa sherehe ukumb mzima ulipuke kwa vigeregere
Wanakuchuna hizo hela halafu wanaenda kuwapa bure wanaume wanaowapenda bure tena wanawahonga na hela zako. Fikiria hela zako zinahudumia njemba zingine. Inauma kulea njemba zingine.
Mwanaume wa kweli haitaj upendo hakuna upendo katika dunia hii bali kuna maslai tu ulichonacho sina nilichonacho hauna tukutane kat kat kila mtu afaidi cha mwenzio si umesikia ya zailisa kwa bugat alikua analiwa mpaka kisamvu na akawa anavumilia mpaka aliposikia mdogo wake nae analiwa ndio akaomba talaka
 
Ukitafta hela,mke wako analiwa na dereva bodaboda.
Hakuna jipya hapo labda wewe ndio mgen kabla yako alikua analiwa tunaoa ili tupate watoto tunaoa ili tupate wasaidiz tunaoa ili tupate walinz wa kutulinda usiku maana kitanda sio kabur usije kufa ukaoza week mbil watu ndi0 wanakuja kujua umekufa ngono ni kitu kidogo sana ni dakika 15 au 20 lakin mapenz au ndoa ni miaka 50 au 70 ushaipiga mikaa kibao haina jipya kikubea awe na heshima
 
Back
Top Bottom