Uhakika mkuuhii motivation mbona haijakaa poa yani utafute hela ili upiganiwe na michepuko hiyo ni laana,hela itafutwe kwa motisha zenye tija sio uzinzi😝
Uhakika mkuuhii motivation mbona haijakaa poa yani utafute hela ili upiganiwe na michepuko hiyo ni laana,hela itafutwe kwa motisha zenye tija sio uzinzi😝
Mkuu hutaki tukupiganie?hii motivation mbona haijakaa poa yani utafute hela ili upiganiwe na michepuko hiyo ni laana,hela itafutwe kwa motisha zenye tija sio uzinzi😝
Acha ujingaKama ni mshahara wako basi uwe na o zaid ya6 kila mwezi na kama ukitoka msiba msiba usimame usubiriwe weqe kwanza ufike ndio shughul ziendelee na kama ukitambulishwa kwenye ukumb wa sherehe ukumb mzima ulipuke kwa vigeregere
Mwanaume wa kweli haitaj upendo hakuna upendo katika dunia hii bali kuna maslai tu ulichonacho sina nilichonacho hauna tukutane kat kat kila mtu afaidi cha mwenzio si umesikia ya zailisa kwa bugat alikua analiwa mpaka kisamvu na akawa anavumilia mpaka aliposikia mdogo wake nae analiwa ndio akaomba talaka
Presha itakua kubwa kila ukienda kwenye sherehe msiba au kikao cha ndugu swali la kila mmoja utaoa lin utaolewa lin ukiwa mwanaume utaitwa una matatizo shoga ndio maana huna mke udindi na nk ukiwa mwanamke utaitwa malaya huolew una kasoro hiz au zile na nk tatizo ni presha wengi wanaoa kwa presha lakin kikubwa kuoa ni heshima unaonekana mwanaume kama hujaoa wewe ni mvulana hujui maisha maana kufuga mtu sio mchezosioi walaaa
sikupingi unavyo waza naheshimu mawazo yako ndivyo akili yako inavyosema sio kwa wote,its fallacy of generalazation juu ya wanaume ni wazinzi by nature,hela inatafuta kulisha familia yako,kusomesha vijana,kusaidia wenye uhitaji,kuwa na maendele lakini sio kuwa mzinzi huo ni akili za kipwiru mkuuTafuta hela maisha yanakua rahis hutoteswa na mapenz by nature wanume ni wazinz
Rijal yoyote lazima akutane na changamoto hizo za wanawake zaid ya mmoja labda uwe mwanaume mwenye mapungufu maana ukiwa kazin automatical tu kukiwa na mwanamke mrembo mnaeshinda nae na kua na ukaribu nae mda wote utapiga tu so ni kawaida tu sio akili za kipwiru ni akili za wanaume si umeona mzee magu alikua na mke lakin alikua anakatiza usiku wa manane kwenye msitu wa kisarawe kwenda kushikwa shikwa makalio na jokatesikupingi unavyo waza naheshimu mawazo yako ndivyo akili yako inavyosema sio kwa wote,its fallacy of generalazation juu ya wanaume ni wazinzi by nature,hela inatafuta kulisha familia yako,kusomesha vijana,kusaidia wenye uhitaji,kuwa na maendele lakini sio kuwa mzinzi huo ni akili za kipwiru mkuu
Ila mtaani kugumu,jana kuna bar nimekuta muhudumu mpya,dah yule Mmeru mzuri sana.
Ukisikia ule msemo kua nakupemda wewe na huyo mke wako ndio unatumika hapa sasa
Wasanii gach na yammtzy wamefikishana polisi sababu kubwa kugombania bwana ambae ni mume wa mtu mwiz wa kwanza alikua ni gach mwiz akaibia na yamm mwiz wa kwanza akaemda polis kushtaki vijana tutafute hepa ukiwa na hela mwanaume sio mbwa tena na hutolalamika kuhusu wanawake sijui wanawake pasua kichwa and blaah blah kibao
Maana kwenye vikao vyetu bwana kila mwanaume story yake wanawake hawaaa ndoa hiz mara wanawake hawana akil wanawake kma watoto na malalamiko kibao
Mume wa mtu anaegombaniwa anagawa magar kama pipi na safar za dubai kwake kama kwenda mliman city tu
Huo ni ujingaKwamba nitafute pesa ili wanawake wanigombanie?
Kwahiyo wazuri wanatakiwa wafanye kazi wapi🫢Ila mtaani kugumu,jana kuna bar nimekuta muhudumu mpya,dah yule Mmeru mzuri sana.
Wanatakiwa watunzweKwahiyo wazuri wanatakiwa wafanye kazi wapi🫢
Sasa mkija bar mkatukuta sisi wabaya watupu tutauza kweli😢Wanatakiwa watunzwe
Mtauza na mtadumu kwenye hizo kazi.Sasa mkija bar mkatukuta sisi wabaya watupu tutauza kweli😢