Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
😰Mtauza na mtadumu kwenye hizo kazi.
😰Mtauza na mtadumu kwenye hizo kazi.
Wewe umechagua kipi kati ya hayo mawili mkuumkuu unachukua event moja na kuleta conclusion, sio kwamba pesa itakuepushia matatizo bali itakupa aina nyingine ya matatizo...
Kwani watu wote waliofika 40 wametoka?KUna umr ukivuka tu miaka 40 kila unachofanya sio kwa ajili yako hata mkr wako atakuuliza siku ukifa utatuachaje ukinunua kiwanja na kujenga sio kwa ajil yako ni kwa ajil ya watoto na mke hata ukinunua umeme ni kwa ajil ya watoto na mkeo tu kwako sio muhimu kila unachofanya kipaumbele mtoto na mkeo hata kifo chako kipaumbele ni mtoto na mkeo yaan ukitaka kufa unachowaza utawaachaje wanao na mkeo
Mpaka akupe gari sehem za Siri lazma ziumieUkisikia ule msemo kua nakupemda wewe na huyo mke wako ndio unatumika hapa sasa
Wasanii gach na yammtzy wamefikishana polisi sababu kubwa kugombania bwana ambae ni mume wa mtu mwiz wa kwanza alikua ni gach mwiz akaibia na yamm mwiz wa kwanza akaemda polis kushtaki vijana tutafute hepa ukiwa na hela mwanaume sio mbwa tena na hutolalamika kuhusu wanawake sijui wanawake pasua kichwa and blaah blah kibao
Maana kwenye vikao vyetu bwana kila mwanaume story yake wanawake hawaaa ndoa hiz mara wanawake hawana akil wanawake kma watoto na malalamiko kibao
Mume wa mtu anaegombaniwa anagawa magar kama pipi na safar za dubai kwake kama kwenda mliman city tu
Mabilionea akina banjooMume wa mtu anaegombaniwa anagawa magar kama pipi na safar za dubai kwake kama kwenda mliman city tu
Acha tu vijana hawataki masuria wawapiganie😂
Njaa ya Bongo hata kama mzee wa miaka 60 anakula vitoto vya 2000
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Moderators futeni hii post haina maana
Una matatizo ya kiakili sanaKama ni mshahara wako basi uwe na o zaid ya6 kila mwezi na kama ukitoka msiba msiba usimame usubiriwe weqe kwanza ufike ndio shughul ziendelee na kama ukitambulishwa kwenye ukumb wa sherehe ukumb mzima ulipuke kwa vigeregere
Mwanaume wa kweli haitaj upendo hakuna upendo katika dunia hii bali kuna maslai tu ulichonacho sina nilichonacho hauna tukutane kat kat kila mtu afaidi cha mwenzio si umesikia ya zailisa kwa bugat alikua analiwa mpaka kisamvu na akawa anavumilia mpaka aliposikia mdogo wake nae analiwa ndio akaomba talaka
Nitakuwa nanunua siku moja moja siyo mbaya.Suala la kuoa sio wewe ni mahitaji ya uume wako mkuu unaweza ukawa hutaki ila uume wako ukakulazimika