Vijana tutafute hela michepuko yafikishana polisi kisa kugombania mume wa mtu

Acha ujinga
 
sioi walaaa
Presha itakua kubwa kila ukienda kwenye sherehe msiba au kikao cha ndugu swali la kila mmoja utaoa lin utaolewa lin ukiwa mwanaume utaitwa una matatizo shoga ndio maana huna mke udindi na nk ukiwa mwanamke utaitwa malaya huolew una kasoro hiz au zile na nk tatizo ni presha wengi wanaoa kwa presha lakin kikubwa kuoa ni heshima unaonekana mwanaume kama hujaoa wewe ni mvulana hujui maisha maana kufuga mtu sio mchezo
 
Tafuta hela maisha yanakua rahis hutoteswa na mapenz by nature wanume ni wazinz
sikupingi unavyo waza naheshimu mawazo yako ndivyo akili yako inavyosema sio kwa wote,its fallacy of generalazation juu ya wanaume ni wazinzi by nature,hela inatafuta kulisha familia yako,kusomesha vijana,kusaidia wenye uhitaji,kuwa na maendele lakini sio kuwa mzinzi huo ni akili za kipwiru mkuu
 
Rijal yoyote lazima akutane na changamoto hizo za wanawake zaid ya mmoja labda uwe mwanaume mwenye mapungufu maana ukiwa kazin automatical tu kukiwa na mwanamke mrembo mnaeshinda nae na kua na ukaribu nae mda wote utapiga tu so ni kawaida tu sio akili za kipwiru ni akili za wanaume si umeona mzee magu alikua na mke lakin alikua anakatiza usiku wa manane kwenye msitu wa kisarawe kwenda kushikwa shikwa makalio na jokate
 
Yatajua yenyewe na uzumbukuku wao wa maarifa, mimi sitafuti pesa kwa ajili ya mbususu wala sina mpango wa kuoa matatizo.
 

WANAWAKE WA AINA YAKO SEHEMU ZINAZOUMIA NI SEHEMU ZAO ZA SIRI.
 
Mtoa mada ni wale watu ina inaonekana kawajua wanawake
ukubwani
Yani hana exprnce ya wanawake.
Kama sikosei wewe ni msukuma.!
 
Content creators wanaisaka bilioni 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…